Msanuaji News Updates

Msanuaji News Updates JOURNALIST
HAPA UTAPATA KUFAHAMU TAARIFA ZOTE zilizojiri, zitakazojiri nje ya Tanzania na Ndani ya Tz

09/11/2022

https://youtu.be/-qHL_Wk49n8
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
GUSA LINK HAPO JUU KUTAZAMA FULL VIDEO IKO YOUTUBE CHANNEL YA 4k sports media

Kocha wa Simba Juma Mgunda Atuma ujumbe Singida Big Stars/ Mpaka tunakuja huku tumejipanga Mjue hilo.
08/11/2022

Kocha wa Simba Juma Mgunda Atuma ujumbe Singida Big Stars/ Mpaka tunakuja huku tumejipanga Mjue hilo.

04/11/2022

https://youtu.be/0yfobFHPZHk

Hawa ni watanzania waishio nchini China na wakatoa maoni Yao baada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanbaada ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke kufika nchini China kufanya ziara ya kikazi na kukutana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

Mchezo wa Ligi ya Europe umemalizika Dakika 45 kipindi Cha Kwanza Mchezo wa Group stage ( E) mchezo kati ya  REAL SOCIED...
03/11/2022

Mchezo wa Ligi ya Europe umemalizika Dakika 45 kipindi Cha Kwanza Mchezo wa Group stage ( E) mchezo kati ya REAL SOCIED vs MANCHESTER UNITED. 1-0 HT.

Goli pekee la Manchester united likifungwa Dakika ya 17 na ALEJANDRA GARANANCHO ( Garanancho) .



Cc Mutra msanuaji _ tz✍️

02/11/2022
MATCH DAY YANGA SC VS CLUB AFRICAN KOMBE LA SHIRIKISHO  AFRIKA / saa Kumi alasiri katika Dimba la BENJAMIN WILLIAM MKAPA...
02/11/2022

MATCH DAY YANGA SC VS CLUB AFRICAN KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA / saa Kumi alasiri katika Dimba la BENJAMIN WILLIAM MKAPA 🏟️

YANGAA

01/11/2022

DUME JIKE Akamatwa Akifanya mapenzi ya Jinsia Moja na Mke wa Mtu Live Tazama

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msanuaji News Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Msanuaji News Updates:

Share