Cianahblack

Cianahblack Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cianahblack, Publisher, 0746683320, Arusha.

14/06/2020

JUMATANO USIKU:1
Luciana
Naitwa Lucy nimezaliwa katika familia ya bwana na bibi lameck ni mtoto wa mwisho kati ya watoto watatu wa kwanza alikua ni kaka yangu alieitwa peter na wapili Dada yangu alieitwa zawadi familia ilikua na upendo wa hali ya juu sana kila kitu kilikua nyumbani baba na mama walitupenda sana ila sana walinipenda mimi kaka yangu na Dada yangu walikua wakinita mtoto wa mama na baba nilikua nasoma chuo mwaka wa kwanza ila kaka yeye alikua anafanya kazi ila bado alikua ajaoa na Dada yeye alikua mwaka wa mwisho mana akisomea sheria alikua anasoma kwa mda wa miaka mitano mimi niliamua kusomea uandishi wa habari kwa kua nilikua napenda sana kuongea na kupeleleza badhi ya vitu"""
Nakumbuka siku moja baba alituita na kuanza kuongea na sisi "" watoto wangu wote mmekua na nimewalelea maisha ya upendo ata nikifa leo au kesho nitawaacha mkiwa na amani na upendo"" baba aliongea kwa msisitizo na hisia kali sana kaka alimwambia asijali kwani yeye yupo kwa ajili yetu Dada nae hakusita kuonesha hisia zake kwa baba""
Nakumbuka ilikua majira ya usiku nikiwa nimekaa chumbani kwangu alikuja baba na kuitaji kuzungumza na mimi sikua na pingamizi nilikuabali ""Lucy mwanangu wewe ndo mtoto wangu ninae kupenda naomba jitahidi sana kua na ujasiri na upendo pia usikate tamaa kwakila jambo"" baba alinambia hivyo nilishindwa kumwelewa anamanisha nini ila alinambia haya ni maisha ipo siku ataelewa namanisha nini sikutaka kuuliza zaidi aliondoka zake nakuniacha nikiwaza ""
Dada alimaliza mafunzo yake na mimi nikafanikiwa kuingia mwaka wa pili nilikua na mpenzi wangu nilimpenda sana nae alikua akinipenda Lucas ndo mwanaume niliekua nae alikua nae anasomea uandishi wa habari mwaka wa mwisho nikitokea kumpenda ghafla kutokana na ucheshi wake na kupenda sana kudadisi k**a mimi""
Siku moja nikiwa natoka chuoni nikiwa na Lucas tulikutana na Dada yeye alikua ametoka kufatilia kazi nilipomuona nilimsalimia na kufurahi kuniona ila alimwangalia sana Lucas....

13/06/2020

MOYO WANGU: 36..
Luciana
Nilimuahidi mama sitamuangusha alifurahi kwa kweli watu walinipongeza kwa hatua hiyo""
Ni jumamosi tulivu iliyojaa shamrashamra za apa na pale ni siku ya ndoa yangu na kelvin kanisa nilifurika watu wengi kushuhudia tukio hilo nilikua zangu saloon namalizia maandalizi yangu simu yangu ikaita nilipokea nikasikia sauti ya mwanaume ikiongea "" hongera neema naimani umempata alie sahihi"" nilifikiria ile sauti kwa mda alikua ni john nilimwambia asante nae namtakia mafanikio mema kisha nikakata simu na kujianda kwenda kanisani"""
Niliwasili kanisani nakukuta watu wengi wapo na kelvin alikua akinisubiria mimi tu niliingia kila mtu akageuka kuniangalia nilikua nimependeza kwelikweli adi kelvin akabaki akinitazama tu nilienda moja kwa moja mpaka mbele ya kelvin aliekua akinitazama tu ilibidi nimnong'oneze "" dokta kelvin nimefika"" nilimwambia kwa kumwita docta. Ndipo akakurupuka k**a katoka usingizini tukaelekea mpaka madhabahuni na hatua za ndoa zikaanza""
Ndoa ilikamilika na nikawa mke halali wa kelvin ilikua na furaha sana isiyo elezeke bada ya hapo sherehe ikafata watu walikunywa na kula kila mtu alitusifia na kutuombea tuishi kwa amani
Majira ya usiku tulienda kulala hotelini usiku Ulikua mfupi sana mana tulifanya vitu vingi sana hakuna mmoja kati yetu aliyetaka kumwacha mwenzake mpaka panakucha kila mtu alikua hoi""
Neema mke wangu Nina surprise yako"" kelvin alinambia kisha tukaenda kuoga na kujianda kutoka tulipanda gari lake adi nje kidogo ya mji tukafika nje ya nyumba kubwa nzuri ya kuvutia "" neema hapa ni kwako kwanzia leo"" kelvin alinambia huku akifungua geti na kuingia niliingia na kuangalia nyumba nikabaki nimeshanga tu nyumba ilikua kubwa nzuri yenye kila kitu nilimwangalia kelvin machozi yakotoka nikamkumbatia na kumwambia "" wewe ndo MOYO WANGU "" maisha tukaanza na kelvin furaha ikatawala kila siku kwa sasa tuna watoto watatu namshukuru mungu kwa hilo"""

MWISHO

13/06/2020

MOYO WANGU: 36
Luciana
Nilienda mpaka kwa kelvini nikamkuta ofisini kwake alivyoniona alinifata na kunikumbatia "" neema nilikua na mashaka na wewe mpenzi mbona jana huku pokea simu yangu?""alinambia uku akiwa bado kanikumbatia "" kelvin mpenzi samahani kwa kukupa hofu lakini jana nilikua na marry nyumbani kwangu tulikua tunaongea mambo ya nyuma uko adi nikasahau kuchukua simu nisamehe et"" nilimwambia akaniachia kisha akasema hana shida kwa hilo ameshanisamehe "" kumbuka bado wiki tu nikifanye wa kwangu kabisa"" kelvin alinambia uku akitabasamu "" najua mpenzi kesho kutwa itabidi niende nyumbani ndo nataka nipeleke hi barua kwa boss"" usijali nipe nitapeleka mwenyewe" sawa ngoja ata nikapate kifungua kinywa mana jana usiku sijala"" nilimwambia nikiwa natoka akanishika mkono "" kwanini ujala?""" Stor zilizidi bana tukasahau adi kula"" sawa twende"" hee we kelvin kumbuka leo unazamu ya kuangalia wagonjwa"" najua ila mke wangu mtarajiwa natakiwa nimwangalie kwanza""" sikua na namna mana akiamua kaamua tulienda kutafuta chai""
Siku tatu kabla ya harusi yangu nilirudi zangu nyumbani kwaajili ya kufanyiwa sherehe ya kuagwa nilikuta maandalizi mazuri adi nikashanga mama alijipanga kweli nilifika nikapokelewa na vigelegele vya kina mama kwa kweli nilifurahi sana"
Majira ya usiku nilikua nimekaa nje na mama tunapiga stor tu za maisha ya ndoa akanieleza kuhusu changamoto za ndoa na jinsi ya kuishi na mume Mara akapita mtu mama akanambia "" unamkumbuka yule"" kumwangalia alikua Julius"" hee mama kaweje?"" Alikua na mwanamke anaishi nae sasa uyo mwanamke kamkimbia na kamuibia kila kitu chake saivi yuko k**a kachanganyikiwa"" mama alinambia huku akinangalia kwa kweli nilimuhurumia ila sikua na namna""
Basi siku ya kuagwa ilifika nikaagwa vizuri nikapewa zawadi nyingi sana nililia kwa kweli naacha familia yangu na kwenda kuanza maisha yangu mama alisisitiza niwe jasiri na mwenye adabu uko niendako nilimwambia sitamwangusha""".....

31/05/2020
IN business
02/05/2020

IN business

20/03/2020

HI

Address

0746683320
Arusha

Telephone

0746683320

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cianahblack posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category