Royaltourtz

Royaltourtz AFRICA IN DIGITAL

02/06/2026
02/06/2026

ZANZIBAR – Kampuni ya United Petroleum imeingiza kwa mara ya kwanza meli kubwa ya mafuta kutoka Saudi Arabia yenye ujazo wa tani 28,000, sawa na lita milioni 28, bandarini Zanzibar.

Akizungumza wakati wa zoezi la kushusha shehena hiyo, Mkuu wa Masoko na Mauzo wa United Petroleum, Bw. Moses Mjema, alisema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati visiwani humo na kupunguza changamoto ya uhaba wa mafuta.

"Ujio wa meli hii ni historia kwa Zanzibar. Tani 28,000 ni kiwango kikubwa kitakachosaidia kuleta utulivu wa bei na uhakika wa upatikanaji wa mafuta kwa muda mrefu," alisema Bw. Mjema.

Shehena hiyo inatarajiwa kuimarisha sekta ya usafiri, utalii na uchumi wa buluu Zanzibar.

02/06/2026

SONG : AFRIKA YETU NZURI
PRODUCTION : DIGTAG CREATIVE ( )

02/06/2026

Leo ni Juni Mosi. Nimesubiri hii jibu mwaka mzima: Unanipeleka lini kutalii!? 😂
01/06/2026

Leo ni Juni Mosi. Nimesubiri hii jibu mwaka mzima: Unanipeleka lini kutalii!? 😂

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Royaltourtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share