Smart Media Tz

Smart Media Tz Ni sehemu ya kupata habari mbalimbali zilizojiri nje na ndani ya nchi

22/07/2022
Mwanga graphics agency inapenda kuwaletea punguzo la bei kwa kazi mbali mbali za graphicsa
24/06/2022

Mwanga graphics agency inapenda kuwaletea punguzo la bei kwa kazi mbali mbali za graphicsa

20/05/2022

Jumuiya ya wazazi chama Cha mapinduzi tawi la Olkeriyani kata ya Olasiti Mkoani Arusha wamefanya uchaguzi wakuwachagua viongozi wao katika ngazi mbali mbali ikiwemo

Mwenyekiti wajumuiya ya wazazi, pamoja na kamati ya utekelezaji

Akizungumza baada ya uchaguzi kukamilika Halima Mrutu ambae nikatibu wa jumuiya ya wazazi kata ya Olasiti amewashukuru tawi la Olkeriyani kwaku waletea viongozi Imara pia Amebainisha mikakati waliojiwekea

Chama cha mapinduzi kipo kwenye uchaguzi wa ngazi mbalimbali wa viongozi ikiwemo ngazi ya Tawi, Kata, Wilaya pamoja na mkoa .

Ahemedy" Ally asema matokeo ya simba yamewaacha na simanzi kubwa hawajafurahishwa
19/05/2022

Ahemedy" Ally asema matokeo ya simba yamewaacha na simanzi kubwa hawajafurahishwa

Leo shirika lá Women and  Children Welfare Suport limeendesha semina fupi ya uwezeshaji wa mjadala wa uundwaji wa dawati...
18/05/2022

Leo shirika lá Women and Children Welfare Suport limeendesha semina fupi ya uwezeshaji wa mjadala wa uundwaji wa dawati la kijinsia lengo ni kuendelea kupambana na kuzuia Rushwa ya Ngono na ukatili wa kijinsia katika Taasisi za Elimu ya juu na kati Tanzânia. Mjadala huo umehusisha Wakufunzi, wafanyakazi, na viongozi Wa serikali ya wanafunzi katika Chuo cha uandishi Wa habari Fanikiwa journalism school-FJS

Address

Olkeriyan
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smart Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Smart Media Tz:

Share