Olosho TV

Olosho TV MEDIA & TOUR COMPANY
#1 Maasai Online Forum in EA
� Education
� News & Events
� Entertainments

23/12/2025

Engawarie sidai Olosho le Maa!



23/12/2025

Hii huwa ni "Very Easy" but MAGICAL. Hata VIJANA wa shule waliozoea kula chips hawawezi shindwa kuruka hii🤣. Ila nyingine waachieni Morani wa Ronjo wenye mapafu ya mbwa😁🙌.



22/12/2025

Now the Challenge is Accepted! Sema hii Ngoma inabamba sana💥. Unawapa asilimia ngapi?

Tutumie "Clip" yako bora ukicheza/watu wakicheza hi ngoma!



22/12/2025

Jamani huku ni wapi tena? Hii clip ina-trend sana🙌🙌.

Jamani msiwarekodi Maskolio😥.


21/12/2025

EN: Rare footage of Maasai Warriors (Morans) killing a lion in 1908.

SW: Hii ni video inaonyesha Morani wakiua Simba mwaka 1908.
:
:
EN: The art of throwing spears is quite insane and unimaginable 🙌🙌.

SW: Hii sanaa ya urushaji wa mikuki ni ya ajabu sana na isiyofikirika 🙌🙌.



21/12/2025

Jumapili njema ndugu zanguni kutoka Olosho le Lemaa!



20/12/2025

Wananchi wa Loodokilani nchini Kenya wakipaza sauti na kutoa RAI yao baada tembo (Ndovu) kumuuwa Mama mmoja.

Viongozi na Serikali wanapaswa kusikiliza wito wa wananchi na kuchukua hatua za haraka ili kuzuia athari, maafa na usumbufu ambayo wanyama hao wanaweza kusababisha kwa jamii.

Vinginevyo, Jamii haitosita kuchukua taadhari ya kujilinda katika namna ambayo inaweza ikatafsiriwa kuwa ni kinyume taratibu za uhifadhi wa wanyamapori.

Lakini, usalama wa UHAI wa Wananchi na mali zao ni Muhimu zaidi kuliko tembo.

Cc: Kajiado TV




20/12/2025

Oiyee aitadamwa enelekwa [He reminds ME those years back]🤣🤣🙌.



20/12/2025

This is not PERFORMANCE it is a LIVING CULTURE🫶.




19/12/2025

Who told YOU Maasai language is not teachable? Meet the teacher who breaks down the nitty gritty of learning


K**a VAZI la   lingekuwa VAZI la TAIFA 👏👏.
19/12/2025

K**a VAZI la lingekuwa VAZI la TAIFA 👏👏.




18/12/2025

Shamrashamra za Morani katika sherehe za, "Enkisuja Or-Megoliki" katika maeneo ya Morombo jijini Arusha. Hii ni hatua muhimu ya kutawazwa rasmi kwa vijana wa kimasai kuwa Morani baada kutoka jando na kumaliza hatua ya, "Ir-skolishu".

TAFADHALI: Follow Olosho TV kwa ajili kupata elimu, habari na burudani kuhusu Olosho le Maaa!



Address

Arusha
Arusha

Telephone

+255738417744

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Olosho TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share