
10/05/2023
https://youtu.be/mzl_P0UQ4LI
"PESA NI NINI?" ni somo linalobainisha DHANA SAHIHI kuhusu maana ya Pesa. Watu wengi wanajaribu kutafuta Pesa ilhali hawana uelewa sahihi kuhusu Pesa ni kitu gani hasa.
Tunabainisha Pesa imekuwa ni nini katika historia ya dunia. Hakika utaelewa mabadiliko katika utambulisho wa Pesa.
Somo hili pia ni mfululizo wa masomo ya UCHUMI WA UFALME WA MUNGU - Programu inayosimamiwa na kuendeshwa na PESAYAKO LTD.
Kufuatilia masomo yaliyopita πππ
https://rb.gy/n5sid
Kujiunga na Kundi la WhatsApp ππ
https://chat.whatsapp.com/Ls4lSqCzxXL7F21OGsIsTW
MAWASILIANO:
+255 (0) 688868808
+255 (0) 786910514
+255 (0) 762727387
+255 (0) 626682263
Barua Pepe [email protected]
"PESA NI NINI?" ni somo linalobainisha DHANA SAHIHI kuhusu maana ya Pesa. Watu wengi wanajaribu kutafuta Pesa ilhali hawana uelewa sahihi kuhusu Pesa ni kitu...