Edgar. Rwehumbiza

Edgar. Rwehumbiza Football, life, meme and entertainment,
Always positive and ready to change. Be happy enjoy every minute of life.

  updates Licha ya Spurs kutangulia kwa goli la mapema haijawanyima Villa sababu za kuondoka na alama tatu katika mchezo...
19/10/2025

updates

Licha ya Spurs kutangulia kwa goli la mapema haijawanyima Villa sababu za kuondoka na alama tatu katika mchezo wa leo.

Tottenham kachapika kwake na villa wamepata ushindi wa tano mfululizo katika miachuano yote msimu huu🤯🔥. wako 🔥

Haya sasa tusogee kwa majogoo kuna sherehe nyingine huko.

 Nyama kaanza hivi leo.nini maoni yako!?
19/10/2025


Nyama kaanza hivi leo.

nini maoni yako!?

K**a hujajua au umesikia sikia kwa mbaali, ni kweli bwana walimalizana huko huko. Aya   unataka nani arudi et, au watafu...
19/10/2025

K**a hujajua au umesikia sikia kwa mbaali, ni kweli bwana walimalizana huko huko.
Aya unataka nani arudi et, au watafute jitu jipya lingine lisilojulikana kabisa.

16/10/2025

 Shabiki wa Manchester united kuelekea mchezo wa weekend hii dhidi ya Liverpool, unakumbuka wakati gani bora wa huyu mwa...
16/10/2025



Shabiki wa Manchester united kuelekea mchezo wa weekend hii dhidi ya Liverpool, unakumbuka wakati gani bora wa huyu mwamba hapo chini na ilikuwa game gani twambie hapo chini.

  MOROCCO ON THEIR PRIME 🤯
16/10/2025

MOROCCO ON THEIR PRIME 🤯

USITESWE NA MASAIBU YA JANA, LEO NI SIKU NYINGINE UNAWEZA KUANZA UPYA KWA AJILI YA KESHO ILIYO BORA KWAKO💪
16/10/2025

USITESWE NA MASAIBU YA JANA, LEO NI SIKU NYINGINE UNAWEZA KUANZA UPYA KWA AJILI YA KESHO ILIYO BORA KWAKO💪

Umegundua nini. Tuna EPL league pendwa duniani haoo kombe la dunia. Lakini kuna TPL, ligi pendwa barani Afrika, wakenya ...
15/10/2025

Umegundua nini.
Tuna EPL league pendwa duniani haoo kombe la dunia.
Lakini kuna TPL, ligi pendwa barani Afrika, wakenya mtuache kidogo..

Address

Makumira, 55 Usa
Arusha
BUKOBA

Telephone

+255711733756

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Edgar. Rwehumbiza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Edgar. Rwehumbiza:

Share