Afama Tv

Afama Tv Be Better Tomorrow

21/02/2026

WASABATO WOTE NJOONI KUJIBU SWALI HAPA.

Sanga Richa anasema wamefunga Sabato sa kumi na mbili na nusu Jioni na watu warejea kwao Kuendelea na shuguli zao, lakini jua bado halijazama hadi Majira ya saa moja. Sasa anauliza je Nini kifanyike Muda usogezwe ama tufanye nini?

Hebu tumsaidie kujibu swali hili.

Afama Tv
#

Tuwe wawazi ? Unachokifanya kwa sasa unauhakika ndicho kitakachokutoa ama kuna kitu kingine unasubiri kukianza badae?Afa...
20/02/2026

Tuwe wawazi ? Unachokifanya kwa sasa unauhakika ndicho kitakachokutoa ama kuna kitu kingine unasubiri kukianza badae?

Afama Tv

Hivi Leo Kuna habari zinazosambaa kila kona, kuhusu kadinari Pengo kufariki. Lakini je huyu ni nani? Na kwanini ni maaru...
20/02/2026

Hivi Leo Kuna habari zinazosambaa kila kona, kuhusu kadinari Pengo kufariki.

Lakini je huyu ni nani? Na kwanini ni maarufu sana Tanzania?

Polycarp Pengo alikuwa mmoja wa viongozi wakuu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Alizaliwa tarehe 5 Agosti 1944 huko Mwazye, mkoani Rukwa, Tanzania. Alijiunga rasmi na utumishi wa Kanisa Katoliki na kupata Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 20 Juni 1971 chini ya Hayati Askofu Charles Msakila.

Baada ya masomo yake ya teolojia, akajifunza pia Uthabiti wa Maadili mjini Roma, Italia ambapo alipata digrii ya uzamili (PhD) mwaka 1977. Alifundisha teolojia katika semina mbalimbali na hata kuwa Mkurugenzi wa Segerea Theological Seminary kabla ya uteuzi wake kuwa uaskofu.

1983 – Aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Nachingwea.

1985 – Alihamishiwa kuwa Askofu wa Jimbo la Tunduru-Masasi.

1990 – Aliteuliwa kuwa Coadjutor Archbishop wa Jimbo kuu la Dar es Salaam.

1992–2019 – Alihudumu k**a Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam, akiwa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki mkoani humo na nchi kwa ujumla.

Katika utumishi wake, bila kujali dini au chama, alijitahidi kujenga umoja wa kitaifa, amani, ustawi wa jamii na kutoa mchango mkubwa katika malezi ya mapadre, watawa na waumini wengi. Alikuwa kiongozi anayeheshimiwa kwa unyenyekevu, uongozi thabiti na mshik**ano wa kitaifa.

Afama Tv

Kilichoandikwa Magazetini Leo Feb 20 , 2026
20/02/2026

Kilichoandikwa Magazetini Leo Feb 20 , 2026

Leo katika Nukuu kutoka maktaba za watu mashuri.Abraham Lincoln alikuwa Rais wa 16 wa Marekani.Afama Tv  better Tomorrow...
20/02/2026

Leo katika Nukuu kutoka maktaba za watu mashuri.

Abraham Lincoln alikuwa Rais wa 16 wa Marekani.

Afama Tv
better Tomorrow #

Je umepatambua hapa ? Taja ni wapi?  Tv
19/02/2026

Je umepatambua hapa ? Taja ni wapi?

Tv

19/02/2026

Je unatumiaje mitandao ya kijamii kuhakikisha inakupatia kitu cha kubadilisha maisha yako.

Credit: Clouds fm

Tv

Hii inawahusus vijana wa kisasa, je unafikiri ni kweli kwamba tunakoelekea camera zitakuwa ni miongoni mwa mahitaji ya l...
19/02/2026

Hii inawahusus vijana wa kisasa, je unafikiri ni kweli kwamba tunakoelekea camera zitakuwa ni miongoni mwa mahitaji ya lazima?

Tv
Updates

Et wadau wa kilimo mnasemaje katika hili  Tv
19/02/2026

Et wadau wa kilimo mnasemaje katika hili

Tv

19/02/2026

Ukitaka kuoa kwanza hakikisha umejipanga.

- Mrs Rose

Tv

MDAU: Karibu tuzungumze , je kunao ukweli katika hili? Tupe uzoefu wako binafsi kuhusu madai haya ya wadau mbalimbali.Le...
19/02/2026

MDAU: Karibu tuzungumze , je kunao ukweli katika hili? Tupe uzoefu wako binafsi kuhusu madai haya ya wadau mbalimbali.

LengoletuNiKujengNaSiKubomoa

Updates

19/02/2026

Je ulikuwa unayafahamu haya kuhusu uendeshaji wa ndege nyuki?

Technology

Address

Ngongongare

23324

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afama Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share