Sauti ya Tanzania

Sauti ya Tanzania Habari, Uchambuzi na Matukio ya Tanzania�

06/07/2026

🚨🚨🚨 Watu wanne wamepatikana wakiwa hai baada ya karibu siku 12 chini ya vifusi huko Opp Caribe. 🙏🏼
Miongoni mwao ni mwanaume mmoja, mwanamke mmoja na watoto wawili wadogo.
🌍🙏🏼

02/07/2026

🚨Shabiki mmoja wa Senegal 🇸🇳 amebebwa nje ya uwanja baada ya kupoteza fahamu wakati wa mchezo ambao Senegal ilifungwa 3-2 na Belgium 🇧🇪. Kuna hofu kuhusu hali yake, ingawa taarifa rasmi kuhusu afya yake bado hazijatolewa.

01/07/2026

🚨Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi anaowateua kubeba dhamana walizopewa na wathibitishe kwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na kuleta matokeo yanayoonekana kwa wananchi.

30/06/2026

🚨Raia mmoja kutoka Indonesia 🇮🇩 amejikuta akipata kipigo cha mwizi baada ya kupeperusha bendera ya Israel 🇮🇱

29/06/2026

🇻🇪 Mtoto wa siku 18 ameokolewa akiwa hai baada ya kukaa chini ya vifusi kwa saa 32 nchini Venezuela. Cha kushangaza zaidi, mama yake naye ameokolewa akiwa hai. Ni muujiza wa kweli.

27/06/2026

🚨Bunge la Georgia limegeuka uwanja wa mapambano baada ya wabunge wa chama tawala na upinzani kurushiana makonde wakati wa hotuba ya mwaka ya Waziri Mkuu Irakli Kobakhidze.

Fujo hizo zilidumu kwa dakika kadhaa kabla ya hali kutulia.

26/06/2026

**Picha za angani za La Guaira baada ya tetemeko la ardhi nchini Venezuela. 🇻🇪💔**

Uharibifu ni mkubwa sana... kila mara dunia inaendelea kushuhudia majanga yanayoumiza moyo. 😢🚨🆘‼️

25/06/2026

🚨 imehusisha basi la kampuni ya Namjunisa na Land Cruiser katika eneo la Tinde leo. 💔

24/06/2026

🚨 *TAZAMA:** Lumumba Mea hatimaye yupo Kombe la Dunia! ❤️🇨🇩

Baada ya kukosa mechi ya kwanza ya DR Congo kutokana na matatizo ya visa, sasa yupo jukwaani akiishangilia nchi yake kwa moyo wote. 👏🏿🔥🇨🇩

23/06/2026

Mamia ya mashabiki nchini Bangladesh walisherehekea Messi kuvunja rekodi ya muda wote ya Kombe la Dunia, wakivamia mitaa kwa pikipiki huku shangwe zikilipuka kila kona. Hii passion yao ni kali sana 😳🔥🇦🇷

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share