09/05/2020
Mtunzi; BMS OFFICIALLY
Riwaya; , MAPENZI NA MAISHA #
Mawasiliano; #0713434680.... ya kwanza...
Katika familia moja ya kifugaji alikuwepo kjn mmoja aitwaye Ben, kjn huyo alianza shule ya msingi 2001, shulen alikuwa mtulivu mno na alifanya vema ktk masomo yake yote hali iliopelekea kupewa wadhifa akianza na monitor na half akawa kaka mkuu wa shule hyo. Walipomalz la7 kulifanyika sherehe kubwa ya vifijo na nderemo lkn Ben hakuwa na furaha kbx,Machoz yanamtoka kila likimjia wazo la kusoma kutokana na uchumi wa familia yake, Kijana Ben anatok ktk familia ya mama peke yake na uchumi wao ulikuwa wa chini sana hali ambayo kila akifikiria haoni wa kumsaidia kutimiza ndoto zake za kielimu, alikaa chin akitafar ni vp atapata ufadhili endapo atafaulu, kwakuw hakuwai kumjua babayake alipo alitamani walau amjue ili amfadhili secondary. Matokeo yalipotoka Ben alipata alama 199/250 akawa wapili kishule na wa3 kiwilaya... Ooh alifurahia sana matokeo hayo japo alitamani apate 201 kwakuw kulikuwa na ofa iliosema atakayepata alama 201 na zaidi atapelekwa secondary zenye hadhi za juu kwa ufadhili mnono.Alikaa chin ktk kutafakar njia gan itakayomuwezesha kusoma secondary ilihali maisha ya nyumban hayamudu gharama hzo...Mungu si athuman timu ya wafadhiliwa kutoka wilayan walifika kijijin kwao na wakaomba majina matano wapate kufadhiliwa kwa masomo ya secondary na jina la Ben likapita.Taarifa hzo zilimpa raha sana ckuhyo...Aliwaza ndoto zake zinaenda kutimia taratibu, cku za kwenda secondary ziliwadia ilihali Ben bado hajakamilisha kununua baadhi ya mahitaji hvo alivuta km wiki 2 nyumban akijiandaa vema. Siku hyo aliamka mapem asubuh na kuandaa begi lake na vifaa vingine kulingana na maelezo ya kujiunga secondary na akaanza safari ya kwenda shulen peke yake tena kwa miguu umbali upatao km40, hakuwa na wa kumlaum kwa kuwa kaka yake mkubwa alikuwa nje ya mkoa akifanya shughuli ndogondogo za kujikimu na baadhi ya pesa huwa anawatumia nyumban mama yake na dada pmj na mdogo wake ambae bd yupo sym.Cku alpowasili skonga tar 18/02/2008 alishangaa kuwaona wanafunzi wengi wa k**e na wakiume ktk hali asiotarajia, apo ndipo akawaza akikumbukia mausia ya Bibi yake mzaa mama yapata miaka kumi iliopita akimtabiria mjukuu wake Ben kuwa atakuwa msomi mkubwa, alimtahadharisha kuwa ktk safari ya kusoma kuna vitu vitatu " SHULE, MAPENZI NA MAISHA.
Kila akitafakar hapati maana ya maneno yale kwake ilikuwa fumbo kubwa......Usikose sehem ya PILI....
Officially #