16/12/2024
SIMBA YAENDELEA KUCHELEWESHWA KUKUTANA NA NYUKI WA TABORA...
ℹ️ Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo miwili ya timu ya soka ya Simba SC Tanzania .
• Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.
• Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya.