06/02/2026
“Tumekuwa na muda mzuri kuwasoma wapinzani wetu…! Ni timu bora na shindani inayobadilika sana kimbinu Ila sio k**a hawafungwi…! Wanafungika na tutatumia madhaifu yao kuwaadhibu”
Kocha wa Yanga Pedro Goncalves