07/07/2022
MIKOPO YA MASHARTI NAFUU.
Ofisi za kutoa mikopo kwa wajasiriamali zinazidi kuota k**a uyoga mitaani. Hivi nawe umewahi kujiuliza: mikopo hii imekuwa msaada kwa wahitaji ndio maana wanaikimbilia au la?
Kuna jambo naomba ulitafakari kisha uniambie nawe umegundua nini: hapo mtaani unapoishi kuna yeyote ambaye ni shuhuda wa kufanikiwa kupitia hii mikopo na ile mingineyo! Na ni watu wangapi ambao unawajua wamepoteza Mali na utu wao kwa kufilisiwa rasilimali zao kisa hii hii mikopo?
Na kwa nini kuna imani ya kuwa fedha za mikopo unapochukua ni ngumu kurejesha marejesho yote ili ubaki salama?
Itaendelea soon.............
Send a message to learn more