28/10/2025
MARY GRAY RAIA WA UFILIPINO ANAYEISHI MAREKANI AKITOKEA KANISA LA KWA ALIPOFIKA MBELE YA NABII MKUU KUSHUHUDIA UKUU WA MUNGU ALIOUONA UKIFANYA KAZI NDANI YA NABII MKUU,MHE.DKT.GEORDAVIE PIA MARY GRAY ALIPOKEA MATAMKO YA KINABII KUTOKA KWA NABII MKUU.MHE.DKT.GEORDAVIE YA KUMUINUA NA KUMUONGEZA HATUA MPYA MAISHANI KIROHO NA KIMWILI