Habari Maalum Video & Tv Production

Habari Maalum Video & Tv Production Uzalishaji (Production) Kurekodi video
Kazi ya kurekodi video na televisheni
ilianza mwaka 1992.

Uzalishaji
unahusisha kuzalisha video za
nyimbo na vipindi vya tv vya
mahubiri. Kuna mikanda
tofauti tofauti ya video inayouzwa,
lakini pia kuna maktaba ya video ambako kuna uwezekano wa kuazima video
zenye programu za maelezo na mafundisho. Kuna maktaba/huduma kadhaa
za video kote nchini zenye kushirikiana na HMVTV, zenye kununua video na
kufanya maonyesho.

Tuko tayari kukuhudumia kwa mahitaji mbalimbali ya Audio na Video Production
25/01/2024

Tuko tayari kukuhudumia kwa mahitaji mbalimbali ya Audio na Video Production

13/04/2023
18/11/2022

Kuna ofa nzuri sana kutoka studio za Habari Maalum Media wasiliana nasi sasa ili kufanya booking urekodi Audio au Video kwa gharama nafuu!!! Namba za studio ni 0758545440

JE WEWE NI MWIMBAJI BINAFSI, KWAYA AU BENDI? KARIBU HABARI MAALUM MEDIA KWA KAZI NZURI NA ZENYE UBORA. WASILIANA NASI SA...
17/10/2022

JE WEWE NI MWIMBAJI BINAFSI, KWAYA AU BENDI? KARIBU HABARI MAALUM MEDIA KWA KAZI NZURI NA ZENYE UBORA. WASILIANA NASI SASA KUWEKA BOOKING YAKO MAPEMA!

Tunawakaribisha waimbaji wa nyimbo za injili kurekodi audio na video kwa gharama nafuu.Wasiliana nasi kwa namba:07585454...
13/10/2022

Tunawakaribisha waimbaji wa nyimbo za injili kurekodi audio na video kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa namba:0758545440
Habari maalum media Arusha, Tz.

Sasa unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba yetu ya whatsapp.
10/10/2022

Sasa unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba yetu ya whatsapp.

Timu ya Habari maalum ipo Nzega kwa ajili ya kurekodi video  kwaya ya FPCT Nzega Gospel. Tunawakaribisha kufanya kazi za...
02/10/2022

Timu ya Habari maalum ipo Nzega kwa ajili ya kurekodi video kwaya ya FPCT Nzega Gospel. Tunawakaribisha kufanya kazi za Audio na Video kwa gharama nafuu.

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Maalum Video & Tv Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share