28/11/2025
ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo Boukhalfa, Tizi Ouzou, katika eneo la Kabylia, Algeria. Uwanja wa Hocine Aït Ahmed unamilikiwa na Wizara ya Michezo ya Algeria. Kwa kuwa na viti 50,766, ni uwanja wa tatu kwa ukubwa nchini Algeria.
Ni katika dimba hili kabumbu litasakatwa kati ya Wenyeji Js Kabylie na Yanga timu kutoka kundi B CAFCL. Yanga wanazitaka pointi tatu au sare ili kujihakikishia safari ya kufuzu hatua ya robo fainali.
Je, Yanga watapata pointi tatu au sare? nipe maoni yako hapo chini.
Follow PAHA News Channel