Matola update

Matola update This page is special for entertainment and updation of news.

16/09/2025

What will you do?

Uzinduzi wa kampeni kata ya yombo vituka.Mh Abasi Zuberi Mtemvu Leo amefungua rasmi kampeni za kuwanadi wagombea wa cham...
16/09/2025

Uzinduzi wa kampeni kata ya yombo vituka.

Mh Abasi Zuberi Mtemvu Leo amefungua rasmi kampeni za kuwanadi wagombea wa chama Cha mapinduzi kwa nafasi ya Ubunge na udiwani wa kata zote zilizopo ndani ya Jimbo la temeke.

Wagombea walipata nafasi za kunadi sera zao na jinsi watakavyofanya kutekeleza ilani ya chama Cha mapinduzi.

Ndugu Mariam Kisangi wakati akiomba ridhaa kwa wananchi wa kata ya yombo vituka wamchague kuwa mbuge wa jimbo la temeke, Ameahidi kuwa atakapopata nafasi hiyo ataboresha huduma katika hospitali ya Malawi kwa kuongeza vifaa tiba Pamoja na kuongeza madaktari bingwa katika hospitali hiyo.

Aidha Mgombea wa nafasi ya udiwani kupitia chama cha mapinduzi kata ya yombo vituka Ndugu Mustapha Kashakala ameahidi endapo atachaguliwa ataweza kuinua na kuendeleza taaluma za vijana wa kata hiyo kwa kuanzisha na kujenga vyuo vya ufundi ili wapate ujuzi katika vyuo ivyo na waweze kujitegemea.

04/07/2025
03/07/2025
12/06/2025

Address

Arusha
Arusha
23210

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matola update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category