Godlisten Mwàsha

Godlisten Mwàsha Buy and sales Platform||
Graphics & Design Expert | Social Media Manager || Entrepreneur
Turning ideas into visuals, stories, and opportunities.

Toka kwenye group✍🏽Left footer magician ibrahim jabaar rasmi ni mnyama kwa mkataba wa miaka 02    Jamaa ni kiraka ana uw...
25/07/2026

Toka kwenye group✍🏽
Left footer magician ibrahim jabaar rasmi ni mnyama kwa mkataba wa miaka 02

Jamaa ni kiraka ana uwezo mkubwa wa kucheza kiungo mkabaji ,kiungo mshambuliaji, kiungo mchezeshaji na winga pia

Umri wake ni miaka 24 tu ni raia wa nigeria 🇳🇬🇳🇬 na ni mchezaji aliyetokea stellenbosch ya africa kusini

Ni mchezaji ambaye amepikwa na steve barker toka akiwa kinda na kocha barker ametumia ushawishi mkubwa sana mpaka jamaa anatua bongo

Karibu SIMBA SC Ibrahim jabaar 🇳🇬

jumapili njema
19/07/2026

jumapili njema

18/07/2026
eti wakuu
13/07/2026

eti wakuu

Ni sifa gani umewahi sikia za watu wenye group O la damu? 😅
12/07/2026

Ni sifa gani umewahi sikia za watu wenye group O la damu? 😅

embe ng'ong'o unalijua?
11/07/2026

embe ng'ong'o unalijua?

zamani tulikuwa tunapita mashambani tunakula bure lakini huruhusiwi kubeba
11/07/2026

zamani tulikuwa tunapita mashambani tunakula bure lakini huruhusiwi kubeba

Leo upo upande wa spain au belgium? 😅
10/07/2026

Leo upo upande wa spain au belgium? 😅

🥺
10/07/2026

🥺

nani alikuwa akikufanyia hivi ukiwa mdogo😆
10/07/2026

nani alikuwa akikufanyia hivi ukiwa mdogo😆

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Godlisten Mwàsha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share