Alfred Mlaki - ATA PromaX

Alfred Mlaki - ATA PromaX ATA Promax present: Alfred Mlaki Tz in Season One - Awaking To Arise. https://www.youtube.com/

Holly You Are Jesus!!!
28/10/2025

Holly You Are Jesus!!!

Mtakatifu Wewe!!

Ni Hasubuhi Nyingine ya Baraka Machoni petu na Mbele za Mungu chukua dakika kadhaa kuabudu nasi katika wimbo huu kabla y...
24/10/2025

Ni Hasubuhi Nyingine ya Baraka Machoni petu na Mbele za Mungu chukua dakika kadhaa kuabudu nasi katika wimbo huu kabla ya kuingia katika harakati zako...Neema ya Mungu ikaende nawe leo....

Mtakatifu Wewe!!

Find us on tiktok
23/10/2025

Find us on tiktok

2277 Followers, 8609 Following, 1578 Likes - Watch awesome short videos created by Alfred Mlaki Tz

Usiku wa Baraka ...Karibu tumrudishie Mungu Sifa utukufu na Hadhana ...kwa ukinzi siku nxuma hii ya Leo
23/10/2025

Usiku wa Baraka ...Karibu tumrudishie Mungu Sifa utukufu na Hadhana ...kwa ukinzi siku nxuma hii ya Leo

Mtakatifu Wewe!!

Je ungependa Kuabudu nasi usiku huu tunapokwrnda kumaliza sikuu hii ??? Karibu tukaabudu pamoja
23/10/2025

Je ungependa Kuabudu nasi usiku huu tunapokwrnda kumaliza sikuu hii ??? Karibu tukaabudu pamoja

27 likes, 4 comments. “Roho Ya Elia ...Hadithi ya Yohana Fahamu kwa nini Yesu Hakumuokoa Yohana wakati alipopata adhabu ya kukata kichwa !”

Takasa Mikono Yangu
22/10/2025

Takasa Mikono Yangu

Takasa Mikono Yangu, Season Two

Tenzi Mpya za Rohoni...
22/10/2025

Tenzi Mpya za Rohoni...

Ninapopita Duniani , Nitanguliwe na wewe, na Niangukapo Mikononi , Iwe mikono yako yako Yawe

ULINIUMBA NIKUBUDU .... KUMBUKIZI
22/10/2025

ULINIUMBA NIKUBUDU .... KUMBUKIZI

Check out Alfred Mlaki Tz’s video.

Kumbukizi ...Sauti ya Mtu Ft LinneX Mjeda
22/10/2025

Kumbukizi ...Sauti ya Mtu Ft LinneX Mjeda

Sauti ya Mtu Story by Alfted

Kumbukizi .... Sauti ya Mtu Ft Linnex Mjeda
22/10/2025

Kumbukizi .... Sauti ya Mtu Ft Linnex Mjeda

Sauti ya Mtu Story by Alfted

Petro upande wake wa Pili ...
22/10/2025

Petro upande wake wa Pili ...

Tukisubiri ile story ya Yohana hii hapa Story ya Petro katika track nifanane na Wewe ... Usipange kuikosa,

Kuna Swali linaloulizwa na Wasioamini Njia ya Msalaba kuwa Kwa nini Yesu Hakumuokoa Yohana wakati Herode alipotangaza ku...
21/10/2025

Kuna Swali linaloulizwa na Wasioamini Njia ya Msalaba kuwa Kwa nini Yesu Hakumuokoa Yohana wakati Herode alipotangaza kumkata kichwa chake ? K**A Yesu alikuwa na uweza wa Kimungu ni kwa nini alishindwa kumtoa Yohana mikononi mwa Herode???
Majibu ya maswali haya yapo kwenye kipande cha wimbo huu ...Njoo tujadili zaidi....

Roho Ya Elia ...Hadithi ya Yohana Fahamu kwa nini Yesu Hakumuokoa Yohana wakati alipopata adhabu ya kukata kichwa !

Address

ATA Safaris & Lodges
Arusha
255755

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alfred Mlaki - ATA PromaX posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share