The Word Fundamentalism Crusaders - "WFC"

The Word Fundamentalism Crusaders - "WFC" We Stand that others People Stand for advocacy of Preaching, Teaching and Speaking the Word of God..!

07/04/2025

Ayubu 22 (Biblia Takatifu)
²¹ Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
²² Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake, Na maneno yake yaweke moyoni mwako.
²³ Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa; Ukiuondoa udhalimu mbali na hema yako.

21/03/2025

Shalom..!
Huku Kazi ya Huduma & Kanisa letu linahitaji Kwa Kweli Mkono wako wa Uwezesho/Sapoti ya Kifedha.
Nakuomba Mheshimiwa & Rafiki yangu Usitusahau Kwa SADAKA & Mbegu Zako Maalum za MICHANGO, NADHIRI, SHUKURANI, Sadaka za KIAGANO n.k..n.k.
Mpendwa Mheshimiwa & Rafiki yangu, NINAWASILISHA Kwako Kwa HESHIMA & UNYENYEKEVU Mezani pako & Mbele yako hitaji letu Kwa Ajili ya Kazi ya Mungu ya Huduma & Kanisa letu.
Na Naomba lipate Kibali Kwa Neema ya Mungu Mbele yako, Amen..!

KUMBUKA Daima:
UTOAJI Kwa ajili ya Kazi ya Mungu ni faida Kubwa Kwetu na Kwa Vizazi Vyetu, na Kwamba Mungu husema hivyo Ktk Neno lake:

Zaburi 50 (Biblia Takatifu)
"⁵ Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
⁶ Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
¹⁴ Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.
¹⁵ Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.
²³ Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu."

Na tena Mungu husema:

“Kwa maana tokea maawio ya jua hata machweo yake jina langu ni kuu katika Mataifa; na katika kila mahali unatolewa uvumba na dhabihu safi kwa jina langu; maana jina langu ni kuu katika Mataifa, asema Bwana wa majeshi”
— Malaki 1:11 (Biblia Takatifu)

Na Pia Mungu husema Ktk Neno lake:

Mathayo 6 (Biblia Takatifu)
"¹⁹ Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;
²⁰ bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi;
²¹ kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako."

Church ACCOUNT:
NBC Bank Account No - 014172000577
Jina - NAIOTH PROPHETIC VISIONS CENTRE.

(Kwa Mawasiliano Piga:
(+255 758 200 782
+255 787 200 782)

Thomas Mwaruka Keya,
(Presiding Bishop)

Na Mungu na AKUTENDEE Mema Wewe na Vizazi Duniani Kwa MCHANGO, Sadaka, Mbegu yako Kwetu, Amen..!

21/03/2025
01/03/2025

BWANA WETU YESU KRISTO ATUKUZWE MNO JUU YA MAISHA YETU SOTE..!

Aidha Kwa MAOMBI, USHAURI, UPONYAJI n.k, au MAELEKEZO Mengine Kuhusiana na HUDUMA za NAIOTH PROPHETIC VISIONS CENTRE (NPVC) - [CHUO CHA MAONO YA KINABII - NGUVU YA UFUNUO], Tuko tayari KUKUHUDUMIA Kupitia Kituo Chetu Cha MAWASILIANO, ambacho TUNAPATIKANA MASAA 24 SIKU 7 za Wiki.

Kwa Walioko NDANI ya TANZANIA:
TUPIGIE Simu
+255 758 200 782
+255 787 200 782

Na Kwa Walioko NJE ya Tanzania:
Tumia Whatsapp +255 758 200 782

Tuko Jiji la ARUSHA, TANZANIA.

Karibu Sana na Ubarikiwe na BWANA Wetu Yesu KRISTO, Amen..!

Shalom.

05/01/2025

Je Wewe ni Msomaji Mzuri wa Vitabu..?

Je ni Kitabu Kipi Kizuri Sana Ulichowahi Kukisoma..!?
(What is the best book you ever read..!?)

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Word Fundamentalism Crusaders - "WFC" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share