JAhctive Media

JAhctive Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JAhctive Media, Digital creator, 265/50, Arusha.
(2)

Tufuatilie INSTAGRAM: JAhctive Media
Tufuatilie YOUTUBE: JAhctive Tv
Tumekuchagua|Tutakuhudumia
Gusa Links Hapa Chini👇
https://youtube.com/?si=wZ-T3Lh2CW2DeZLL
INSTAGRAM: www.instagram.com/jahctivetv22?igsh=MTlhMmt5cXViMHVtNw==

Pacome anaondoka nchini😥Rasmi tunaenda kushuhudia Dabi ya Ngao ya Jamii bila Profesa wa Ball, Ligikuu inaanza bila Pacom...
14/07/2026

Pacome anaondoka nchini😥Rasmi tunaenda kushuhudia Dabi ya Ngao ya Jamii bila Profesa wa Ball, Ligikuu inaanza bila Pacome too SAD💔...

"Pacome ameshatoka Hospital, na hivi sasa yupo nyumbani kwake anajiandaa na safari ya kwenda Paris kwa matibabu rasmi...
..kuhusu atapona lini, kwanza tunasubiri wiki sita zipite ili tupate ripoti ya madaktari ambayo itatuelekeza sasa kwamba ni kwa kipindi gani anaweza kuwa nje ya uwanja". Ali Kamwe akizungumzia hali ya Pacome!

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Wanayanga msipohoji mapema mkiendelea kuinyamazia Klabu yenu huenda hali ikawa mbaya kwenu msimu ujao, inamaana mpaka sa...
14/07/2026

Wanayanga msipohoji mapema mkiendelea kuinyamazia Klabu yenu huenda hali ikawa mbaya kwenu msimu ujao, inamaana mpaka sasa hakuna usajili wowote? Wananchi mnatakiwa mpaze sauti kwa viongozi wenu au mnasubiri yajirudie yale ya kina Balla Conte na Doumbia?

Mwaka jana Timu ilisajili wachezaji ambao viwango vyao vilikuwa vya kawaida wakatolewa kwa mkopo wote dirisha dogo lakin uongozi haukuona k**a hilo ni funzo walifanyie kazi msimu huu bado wapo kimya mpaka sasa na Ligi inaanza Wiki ya Tatu kutoka sasa.

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Inamaana Duchu atacheza Simba milele? K**a sivyo basi atafakari hili!! - "Mtu asiniingilie, huu ni mtazamo wangu". Beki ...
13/07/2026

Inamaana Duchu atacheza Simba milele? K**a sivyo basi atafakari hili!! - "Mtu asiniingilie, huu ni mtazamo wangu". Beki wa Simba SC David Kameta 'Duchu' alipohojiwa na mtangazaji kuhusu kikosi chake bora kwa msimu wa Ligi uliomalizika alijibu hivi..👇

"Kikosi changu bora Kipa ni Hussein Abel, Shomary Kapombe, Nickson Kibabage, Rushine Derueck, Hussein Mbegu, Yusufu Kagoma, Anicet Oura, Neo Maema, Tigisi (Pamba Jiji), Clatous Chama na Libasse Gueye".

Duchu hajataja mchezaji hata mmoja kutoka Yanga inamaana sio wachezaji wazuri? Hakuna mchezaji wa Yanga anaweza kuingia kwenye kikosi cha Simba? Naona Duchu amekosea hata k**a amesema asiingiliwe mawazo yake lakini hayupo sahihi.

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

💔Kila mwanayanga aliyepitia kipindi kigumu cha Bakuli na Michango ili kuiendesha Timu hawezi kumsahau aliyekuwa Kipa wao...
12/07/2026

💔Kila mwanayanga aliyepitia kipindi kigumu cha Bakuli na Michango ili kuiendesha Timu hawezi kumsahau aliyekuwa Kipa wao Klaus Nkinzi Kindoki enzi hizo chini ya Kocha Papa Mwinyi Zahera.

Klaus Kindoki aliyeichezea Yanga msimu wa 2018/2020 inadaiwa amefariki dunia kwa ajali ya gari Julai 11, 2026 akiwa nchini kwao DR Congo.

Hili ni pigo jingjne wanapata Yanga SC ikiwa ni miezi sita imepita tangu mchezaji mwingine ambaye ni Chico Ushindi Wakubanza nae Raia wa Congo kufariki dunia Disemba mwaka Jana😭. Poleni sana Wananchi!

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Morrison akiri kuvua nguo kisa anachukiwa na Wanayanga.... "Ninajua mashabiki wa Yanga hawanipendi, hivyo kichwani kwang...
12/07/2026

Morrison akiri kuvua nguo kisa anachukiwa na Wanayanga.... "Ninajua mashabiki wa Yanga hawanipendi, hivyo kichwani kwangu kuna vita dhidi yao...
..nilishangalia hivi [kwa kuvua bukta na Tishirt] baada ya kuona kuna shabiki wa 'Utopolo' yupo jukwaani ananizomea". BM3 Benard Morrison

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

K**a kiongozi wa Timu hakupaswa kutoa kauli k**a hii hususani ukitambua kwamba Timu hii ina mashabiki nchi nzima... Ina ...
11/07/2026

K**a kiongozi wa Timu hakupaswa kutoa kauli k**a hii hususani ukitambua kwamba Timu hii ina mashabiki nchi nzima... Ina maana Njombe hawaishi mashabiki wa Simba? Kwahiyo watu wa Njombe mmepuuzwa? Aisee toeni tamko serious🙌

Kwa hili Ahmed Ally ajitafakari na ikiwezekana aombe radhi kwa mashabiki hii sio kauli nzuri kwasababu Njombe ni Mkoa wa Tanzania, unatambulika na wanaishi raia wa Tanzania sio wakimbizi na kwenye hao raia wanasimba hawakosekani.

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

11/07/2026

K**a ALI KAMWE anataka kulinda heshima yake asiongelee tena habari za Kocha k**a ni kuwadanganya Wanayanga imeshatosha.

Sasa sahivi akitazama hii, aibu anaona yeye mwenyewe🫣 makocha wote aliowasifia wametoa boko, mbona hajifunzi kwa Ahmed Ally?.

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Wanayanga wanahoji huyu Kocha ametoka wapi? Mbona hakuna details zake za kueleweka viongozi toeni taarifa kamili isije k...
10/07/2026

Wanayanga wanahoji huyu Kocha ametoka wapi? Mbona hakuna details zake za kueleweka viongozi toeni taarifa kamili isije kuwa k**a yale ya Roman Folz na baadae Pedro Gonçalves.

Sawa mmetambulisha Kocha mpya lakini wananchi wana haki ya kujua je huyu ni nani? Na kutoka wapi kwasababu sura nj ngeni, jina ni geni? Kumbuka Pedro mlimtambulisha k**a Sayansi ya mpira na alikuwa hajulikani matokeo ndo kile mlichofanya!

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Kumekuwa na ukimya wa zaidi ya siku saba tangu Yanga wapigwe faini ya Tsh Milioni 100 kwa kosa la kutumia Jumba la Maaja...
10/07/2026

Kumekuwa na ukimya wa zaidi ya siku saba tangu Yanga wapigwe faini ya Tsh Milioni 100 kwa kosa la kutumia Jumba la Maajabu kubadilishia nguo wakati wa mchezo wao wa Ligikuu dhidi ya JKT Tanzania msimu uliomalizika.

Ukimya huo unawafanya wanayanga wasielewe nini kinaendelea Klabuni hapo juu ya faini hiyo, Je imelipwa au bado? K**a imelipwa ni pesa ipi iliyotumika na k**a haijalipwa klabu ina mpango gani? Kwanini imekaa kimya Ali Kamwwe azungumzie hili!

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Inamaana wananchi ambao hawamtaki Hersi watamchagua nani? kwanini nafasi ya Urais Yanga mgombea ni Rais wa sasa Injinia ...
09/07/2026

Inamaana wananchi ambao hawamtaki Hersi watamchagua nani? kwanini nafasi ya Urais Yanga mgombea ni Rais wa sasa Injinia Hersi pekee kwanini hakuna mtu mwingine aliyejitokeza kuwania nafasi hii?!

Huu uchaguzi wa Yanga bado sijauelewa ni kwamba hakuna haja ya kupiga kura basi k**a nafasi moja kiongozi ni mmoja anapigiwa kura za nini? Anashindana na nani, je ambao hawamtaki haki yao iko wapi?... Tunaomba ufafanuzi!

Tufuatilie Instagram
Facebook
YouTube
TikTok
Tumekuchagua|Tutakuhudumia

Address

265/50
Arusha
062

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAhctive Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share