Kama Mimi.

Kama Mimi. TO GOD BE ALL THE GLORY!!!🙌


… more

16/06/2025
Hii nchi gani kwan
16/06/2025

Hii nchi gani kwan

Sio kila tundu ni salama kwako.Weka vigezo vyako na ishi umo
16/06/2025

Sio kila tundu ni salama kwako.

Weka vigezo vyako na ishi umo

Nipige k**a unaweza! Nimekuja kazini kwako maana leo sitaki  kukwepesha chochote, SITAKI!Unajua kabisa sikuogopi, na wal...
16/06/2025

Nipige k**a unaweza! Nimekuja kazini kwako maana leo sitaki kukwepesha chochote, SITAKI!
Unajua kabisa sikuogopi, na wala siogopi bosi wako, wafanyakazi wenzako wala hata dunia nzima! Leo nataka jibu – ile chup* niliyoikuta kwenye begi lako la kazini NI yA NANI?
Wewe una akili kweli? Unanidharau kiasi gani hadi ufunike uchafu wako kwenye begi la kazi k**a mimi ni mjinga?

Nimevumilia vya kutosha! Leo naweza kufanya CHOCHOTE! Nimechoka kuumizwa, nimechoka kudanganywa, nimechoka KUHESHIMU mtu asiyeona thamani yangu! Wewe unafikiri mimi ni nani?

Leo sitoki hapa hadi nipate jibu nataka ukweli MBELE YA WATU WAKO HApa! Maana unajifanya mtakatifu kwao, kumbe nyumbani ni shetani mwenye sura ya malaika!

Ukijaribu kuniambia nitulie au usijaribu kunishika mkono kunitoa hapa k**a mjuzi wa kuzuia aibu — utajua sipimbiwi!
Leo ni mimi na wewe, mbele ya macho ya kila mtu

Address

Tanzania
Arusha
23114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kama Mimi. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share