Friends of Early Childhood Development, Care and Education

Friends of  Early Childhood Development, Care and Education Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Friends of Early Childhood Development, Care and Education, Digital creator, Serengeti, Arusha.

08/04/2025

MTOTO- ASOME KWA ASILIMIA 20, AELEWE KWA ASILIMIA 80.Apige msuli Sisimizi na matokeo yake yawe Tembo.Kuzijua Mbinu fuatilia

17/02/2025

MADA: Walezi/wazazi wametia mkazo katika Chakula,Mavazi. Malazi ,Tulisahau kuwafundisha Upendo.Kwa undani Fuatilia.

17/02/2025

Chakula.
Mavazi.
Malazi.

WAZAZI/WALEZI Tulisahau upendo.

Upendo ni ule uhakika wa usalama. Upendo ni imani kuwa wanaokuzunguka wanajali hisia zako. Upendo ni imani kuwa wewe ni mtu wa thamani. Upendo ni ule uhakikisho kuwa kuna mtu anaweza kupambana na hatari usiyoijua. Mtu huyu, kwa wengi wetu, ni mzazi.

Kupendwa ni hitaji la kimaumbile. Ustawi wa ubongo wa kichanga, uwezo wake wa kudadisi na kufikiri, utulivu wa nafsi, utimamu wa hisia, vyote hivi kwa kiasi kikubwa hutegemea upendo unaopatikana bure katika mazingira ya nyumbani.

Huwezi kutoa usichokuwanacho. Huwezi kupenda, kwa mfano, ikiwa hukupendwa. Huwezi kuwa na utu, ikiwa hukupendwa. Huwezi kuwa mtu wa amani ikiwa hujawahi kupata ule upendo usioufanyia kazi —upendo wa wazazi.

Kinachotusumbua wengi ukubwani ni matokeo ya ‘umasikini’ sugu wa nafsi zilizokosa upendo.

Hasira zisizo na maelezo.
Ubabe wa kuchezea hisia za watu.
Mashindano na watu.
Ugomvi usio wa lazima na watu.
Kiburi cha kutokutaka kujifunza kwa wengine. Kiburi cha kutokutaka kupendwa.
Kisasi cha kufurahia matatizo ya wengine.

Hizi ni tabia za waliokosa haki ya kupendwa.
Pamoja na jitihada za kujinasua na umasikini wa kipato—tule, tuvae, tulale— tunahitaji kupambana na umasikini wa upendo.
Ukiwa na raia wengi wenye

‘umasikini’ huu, huwezi kuwa na jamii yenye watu wenye furaha, amani na mshikamano.

17/02/2025

MADA WAPENZI WETU; Huu ndio umri sahihi kwa Mtoto kuanza kuadhibitiwa

17/02/2025

MADA ITAKAYOKUJIA Tukikumbuka Tulikotoka Tutalea Watoto Vizuri

Address

Serengeti
Arusha
555

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Friends of Early Childhood Development, Care and Education posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Friends of Early Childhood Development, Care and Education:

Share