13/07/2026
Tumefika salama IRINGA TOWN Na kupokelewa na Straika Clement Francis Mzize "Clementinho" .. Huwezi kuamini Iringa Yote stori ni moja tu .. TAMASHA LA KESHO Uwanja wa Samora 🔥👊🏼
Natamani kuandika mengi ila Ngoja Niangalie namna ya Kupambana na Hili Baridi la huku kwanza ..
I bera woch my Baridi hia 🤩