Apostle Benson

Apostle Benson SON OF THE
PROPHET OF SIGNS AND WONDERES. I THANK GOD FOR MY FATHER IN THE LORD DR. IKERA.

TO MY Wife,  NURU.  (NEIRA, LAMP OF THE LORD.)Having you for a Wife has been one of the greatest gifts that life has giv...
15/05/2025

TO MY Wife,
NURU. (NEIRA, LAMP OF THE LORD.)

Having you for a Wife has been one of the greatest gifts that life has given me.

For all that you have been... ...For all that you are and for all that you're yet to be

Happy birthday my Darling Wife.

MY LOVELY WIFE,

WORDS CANNOT DESCRIBE HOW SPECIAL YOU ARE ΤΟ ΜΕ. I LOVE YOU MORE THAN ANYTHING.

I THANK GOD FOR YOU.

YOU ARE A BLESSINGS AND A GOOD MOMY TO ME AND OUR CHILDREN.

MANENO HAYATOSHI KUKUELEZEA LAKINI HATA UKITAZAMA MACHO YANGU YANAONESHA NA KUTAFSIRI MAELFU YA MANENO YA UPENDO KWAKO.

CELLEBRATE YOUR DAY DARLING. HAPPY BIRTHDAY AGAIN.

WAKATI WAKO UMEFIKA, USIYAKUMBUKE MAMBO YA KWANZA, TAZAMA BWANA ANATENDA NENO JIPYA  SASA  LINACHIPUKA.ENDELEA KUAMINI, ...
12/05/2025

WAKATI WAKO UMEFIKA,

USIYAKUMBUKE MAMBO YA KWANZA,

TAZAMA BWANA ANATENDA NENO JIPYA SASA LINACHIPUKA.

ENDELEA KUAMINI, NENO LAKE NI KWELI.

07/05/2025

MUNGU NA AKUREJESHE EDENI YÀKO

MAHALI PA BARAKA ZAKO NA MAJIBU YAKO

REHOBOTH.
NAKUOMBEA NEEMA YA KURUDISHWA MAHALI SAHIHI PA MSAADA WA MUNGU.

MBEGU INAPITIA NYAKATI MBALIMBALI.KUNA WAKATI INAKUFA NA KUOZA KUMBE KIINI CHAKE HAKIFI.YOH. 4: 4--5.Kila kilichozaliwa ...
06/05/2025

MBEGU INAPITIA NYAKATI MBALIMBALI.
KUNA WAKATI INAKUFA NA KUOZA KUMBE KIINI CHAKE HAKIFI.

YOH. 4: 4--5.
Kila kilichozaliwa na Mungu kimeushinda ulimwengu.

Ipe nafasi mbegu yako.

KISIMA CHAKO NI MAHALI PA NGUVU ZAKO, MAHALI PA USHINDI WAKO, NI MAHALI PA UHAI WAKO.JUMAPILI HII. MUNGU AMEKUKUMBUKA.
02/05/2025

KISIMA CHAKO NI MAHALI PA NGUVU ZAKO, MAHALI PA USHINDI WAKO, NI MAHALI PA UHAI WAKO.

JUMAPILI HII.

MUNGU AMEKUKUMBUKA.

GOOD NEWS.GOOD NEWS.HABARI NJEMA.WANA WA NABII, KANISA LA DODOMA TUNAPENDA KUTOA TAARIFA NJEMA YA MABADILIKO YA ENEO LET...
05/03/2025

GOOD NEWS.
GOOD NEWS.

HABARI NJEMA.

WANA WA NABII, KANISA LA DODOMA
TUNAPENDA KUTOA TAARIFA NJEMA YA MABADILIKO YA ENEO LETU LA KUABUDIA.

RASMI SASA TUNAPATIKANA

KITUO CHA MELIWA, MKABALA NA SHULE YA MSINGI IPAGALA B.

UNGANA NA NEEMA HII NA UPAKO HUU WA ISHARA NA MIUJIZA KILA SIKU YA

JUMANNE, ; KWA IBADA YA WASHINDI.
ALHAMISI : IBADA YA KUKATA RUFAA.
JUMAPILI : IBADA KUU YA KINABII NA. MATENDO MAKUU YA MUNGU.
SAA 4; KAMILI ASUBUHI.

WASILIANA NASI KWA NAMBA

0657 388114.

AU 0656 105050.


16/12/2024

TANZANIA ARE YOU READY??
THIS IS YOUR TURN.
NI USIKU WA KUHAMISHWA.
NA NABII WA ISHARA NA MIUJIZA DR. IKERA.



USIKOSEEEE

LEO HII SAA TATU KAMILI USIKU, NITAKUWA NYEMO FM DODOMA.UWEZA USIOONEKANA. 97. 7
16/11/2024

LEO HII SAA TATU KAMILI USIKU, NITAKUWA NYEMO FM DODOMA.

UWEZA USIOONEKANA. 97. 7

UKIKOSA UFUNGUO SAHIHI WA MLANGO  HAUWEZI KUPAINGIA HATA K**A NI MAHALI PAKO.SASA MUDA UMEFIKA. NJOO TUSEME NA MALANGO Y...
16/11/2024

UKIKOSA UFUNGUO SAHIHI WA MLANGO HAUWEZI KUPAINGIA HATA K**A NI MAHALI PAKO.

SASA MUDA UMEFIKA. NJOO TUSEME NA MALANGO YAKO JUMAPILI HII.
DODOMA.

UTAFANYA NINI K**A MALANGO YAKO YAMEFUNGWA KINYUME CHAKO??SABABU KWAMBA WATU WENGI HAWAENDELEI KWA KIWANGO CHA JUHUDI ZA...
14/11/2024

UTAFANYA NINI K**A MALANGO YAKO YAMEFUNGWA KINYUME CHAKO??

SABABU KWAMBA WATU WENGI HAWAENDELEI KWA KIWANGO CHA JUHUDI ZAO NI UWEPO WA NGUVU ZA SIRI ZINAZOFUNGA MALANGO, ILI WEWE NA FAMILIA YAKO MSIPANGIE MAHALI HAPO PA USHINDI.

JUHUDI ZAKO ZINAKUWA SI KITU, JITAHAHADA ZAKO ZINAKUWA MACHEZO MBELE YA ADUI ZAKO.

JUMAPILI HII, NJOO WEWE NA FAMILIA YAKO TUSEME NA MALANGO YA BARAKA ZA FAMILIA YAKO.

NJOO NA KOFULI LENYE FUNGUO.

EMAUS YA KWANZA MWISHO WA AIRPORT MKABALA NA DCT HOLY TRINITY PRIMARY SCHOOL.

USIKOSEEEE

The Time is now.Jumapili hii. Njoo na chumvi.MUNGU WA ISHARA NA MIUJIZA ANAENDA KUKUPATIA LADHA YA KIBALI NA HESHIMA.   ...
09/11/2024

The Time is now.
Jumapili hii.
Njoo na chumvi.

MUNGU WA ISHARA NA MIUJIZA ANAENDA KUKUPATIA LADHA YA KIBALI NA HESHIMA.

.IKERA

the Good news.

Address

Babati

Telephone

+255766388114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Benson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Apostle Benson:

Share