Katishatz

Katishatz KIJIWE CHA HABARI & MICHEZO & BURUDANI

JANGWANI Uwanja ambao utajengwa na Kampuni ya Tanzania Limited GSM   hapa jangwani umiliki wake utakuwa ni asilimia 50% ...
15/05/2026

JANGWANI

Uwanja ambao utajengwa na Kampuni ya Tanzania Limited GSM hapa jangwani umiliki wake utakuwa ni asilimia 50% Gsm na Yanga asilimia 50%

hicho kitoto⚽⚽⚽⚽😂😂kinapenda kujichukulia sheria mkononi
13/05/2026

hicho kitoto⚽⚽⚽⚽😂😂

kinapenda kujichukulia sheria mkononi

kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Dodoma jiji
13/05/2026

kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Dodoma jiji

🏟 TRA UNITED 4️⃣-1️⃣ AZAM Feisal Salum "Feitoto " anashindwa kufunga bao la 11 ndani ya Ligi Kuu ya NBC baada ya Golikip...
08/05/2026

🏟 TRA UNITED 4️⃣-1️⃣ AZAM

Feisal Salum "Feitoto " anashindwa kufunga bao la 11 ndani ya Ligi Kuu ya NBC baada ya Golikipa wa TRA UNITED kufuta Penalti yake pale Sheikh Amri Abeid.

Feitoto aliweka Mpira upande wa kulia wa Omonome ambaye alifuta kulinda lango la TRA United.

taarifa kwa Umma
06/05/2026

taarifa kwa Umma

HT 🏟 KMC 0️⃣-0️⃣ YANGA Yanga na KMC pale KMC Complex hakuna bao nidhamu bora sana kwa KMC eneo la ulinzi.
06/05/2026

HT 🏟 KMC 0️⃣-0️⃣ YANGA

Yanga na KMC pale KMC Complex hakuna bao nidhamu bora sana kwa KMC eneo la ulinzi.

kikosi cha Yanga dhidi ya KMC
06/05/2026

kikosi cha Yanga dhidi ya KMC

Kikosi cha  cha AFCON U17 2026, Morocco
06/05/2026

Kikosi cha cha AFCON U17 2026, Morocco

🚨 HABARI MPYA:Takriban wachezaji 8 mpaka 9 wa Azam FC wanaingia kwenye wiki za mwisho za mikataba yao. Hii inamaanisha k...
06/05/2026

🚨 HABARI MPYA:

Takriban wachezaji 8 mpaka 9 wa Azam FC wanaingia kwenye wiki za mwisho za mikataba yao. Hii inamaanisha kuwa klabu hiyo inaweza kushuhudia mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake msimu ujao. 😳

Baadhi ya majina makubwa yanayotajwa ni pamoja na:

Yoro Diaby

Nathaniel Chilambo (Inasemekana tayari ameshafikia makubaliano na Simba SC)

Himid Mao Mkami

Iddy Seleman Nado

James Akaminko

Je, unadhani Azam FC iwaongezee mikataba wachezaji hawa, au ni wakati sahihi wa kupata damu mpya ili kuleta ushindani zaidi?

Karibu  kwenye Ligi ya  ya
05/05/2026

Karibu kwenye Ligi ya ya

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katishatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Katishatz:

Share