Zagwa Bukoba

Zagwa Bukoba Zaagwa Holdings Limited is a private Company which was incorporated on 6th July 2020. The Company mai

Pumzika kwa amani ,Mama nakumbuka toka nizaliwe ni wewe peke yako hukuwahi hata siku Moja ya maisha yangu  kuniita kwa  ...
10/05/2026

Pumzika kwa amani ,Mama nakumbuka toka nizaliwe ni wewe peke yako hukuwahi hata siku Moja ya maisha yangu kuniita kwa jina langu la ubatizo la WALLACE ,ulinitaa siku zote MWOMBEKI,jina lililokuwa na Maono na ndoto kubwa kwako na Mimi mwanao

Mkurugenzi wa Zagwa ,Wallace Rugangila miaka ya sabini akiwa bado anasoma Tumaini Shule ya Msingi akiwa na rafiki yake H...
09/05/2026

Mkurugenzi wa Zagwa ,Wallace Rugangila miaka ya sabini akiwa bado anasoma Tumaini Shule ya Msingi akiwa na rafiki yake Hamza Goronga kwa kushindwa kiingilio cha uwanjani shilingi 100 kwa kipindi hicho walikuwa wanaingia kinyemelema kwa kupanda na kuruka ukuta mara kwa mara kuangalia mechi za mpira kali sana kati ya timu ya Balimi na Ujenzi Sasa hivi Zagwa anatarajia kuweka tangazo la brand ya SENENE kwenye uwanja huo wa Kaitaba

Ted Turner mwanzilishi wa CNN na mtu aliyefanya mabadiliko makubwa sana kwenye tasnia ya habari hapa duniani amekufa juz...
09/05/2026

Ted Turner mwanzilishi wa CNN na mtu aliyefanya mabadiliko makubwa sana kwenye tasnia ya habari hapa duniani amekufa juzi akiwa na umri wa miaka 88,ni ajabu sana kuona vijana wa sasa wanataarifa nyingi za wachezaji wa mpira wa miguu na wanamziki walio Ulaya na hata kuwa fanya role mode wao ila hawana taarifa za watu wenye akili nyingi na ujasili wa kuleta mabadiliko hapa Dunia k**a huyu mwamba.

Ujenzi wa upanuzi wa barabara ya njia nne kuelekea  na kutoka Bukoba Mjini bado unaendelea na kwa sasa Kingo za Barabara...
09/04/2026

Ujenzi wa upanuzi wa barabara ya njia nne kuelekea na kutoka Bukoba Mjini bado unaendelea na kwa sasa Kingo za Barabara tayari zimekamilika kwenye mlima Nyangoe ambapo kampuni ya Zagwa inatalajia kuomba kwenye mamlaka husika kuweka tangazo litakalo lipiwa ikibidi la SENENE mkubwa lenye ukubwa wa vipimo 10 metre x 4 metre kwenye Kingo zote mbili za mlima Nyangoe

Mkurungenzi wa  Zagwa, Wallace Rugangila, amechangia katika   ukuaji na kupanuka kwa  mjiwa  Bukoba Mjini ,kwa kuwa mtu ...
27/03/2026

Mkurungenzi wa Zagwa, Wallace Rugangila, amechangia katika ukuaji na kupanuka kwa mji
wa Bukoba Mjini ,kwa kuwa mtu wa kwanza kutangulia na kuishi eneo tupu la Rwazi ,Kaharoro mwaka 2016 ambalo halikuwa na umeme wala maji , na hivyo kufungua njia kwa watu wengi kuja kujenga na kuishi na familia zao .

Leo  imetimia  miaka 10 toka  Mkurugenzi wa ZAGWAA , Wallace Rugangila  kuamua  kurudi Bukoba  mwaka  2016 baada ya kuon...
14/03/2026

Leo imetimia miaka 10 toka Mkurugenzi wa ZAGWAA , Wallace Rugangila kuamua kurudi Bukoba mwaka 2016 baada ya kuondoka hapo takriba zaidi ya miaka 37 . Aliondoka Bukoba akiwa na umri wa miaka 16 kwenda kusoma na kutafuta maisha .Kwenye picha mwaka 2016 akiwa na maafisa wa ardhi wa halmashauri wa Manispaa ya Bukoba mjini wakielekea eneo alilonunua kumuonyesha kwa mara ya kwanza kwa ajili ya makazi na kuwekeza eneo la Rwazi ,Kahororo Bukoba mjini.

15/02/2026
15/02/2026

Kampuni ya Zagwa , kwa kushikiriana wa wakazi wa eneo la Rwazi ili kuharakisha maendeleo ya eneo hilo wanatarajia kujenga daraja la muda kwenye mto unaonganisha eneo la Rwazi Kahororo na Rwomi , Kashai ,Bukoba Mjini, daraja linarajia kukamilika mwezi wa Sita mwka huu.

Bondia wa Zagwa Boxing Club, Erick  Kaijage kutoka  Bukoba Mjini ,Kashai ambaye   ni bingwa wa mchezo wa  ungumi za ridh...
01/02/2026

Bondia wa Zagwa Boxing Club, Erick Kaijage kutoka Bukoba Mjini ,Kashai ambaye ni bingwa wa mchezo wa ungumi za ridhaa, uzito mwepesi kanda ya ziwa akiwa kwenye mazoezi ya kawaida jioni kwenye gym,Bunju, Kinondoni , Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Zagwa, Mr Wallace Rugangila akiwa amepanga Mwananyamala 'B' Kinondoni Dar es Salaam  mwaka 1987 - 1991  ,n...
26/01/2026

Mkurugenzi wa Zagwa, Mr Wallace Rugangila akiwa amepanga Mwananyamala 'B' Kinondoni Dar es Salaam mwaka 1987 - 1991 ,nyuma ya picha ni choo na bafu ya kuoga cha passport saizi ,ukiwa unaonga unasalimiana na wapita njia k**a kawaida

Address

Plot No. 41 Block ‘A’. Rwazi Area, Kahororo
Bukoba
110110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zagwa Bukoba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share