JLP news tz

JLP news tz news

Mzizima Derby mbele yetu.
06/12/2025

Mzizima Derby mbele yetu.

ππ‘π„π’π’πŸ’¬"Habari za mchana, tumewasili Dodoma salama na nimefurahi kufika kwenye mji mkuu wa Tanzania kwa mara ya kwanza. M...
06/12/2025

ππ‘π„π’π’πŸ’¬

"Habari za mchana, tumewasili Dodoma salama na nimefurahi kufika kwenye mji mkuu wa Tanzania kwa mara ya kwanza.

Maandalizi yetu siyo makubwa kuelekea mchezo wetu wa kesho kwasababu ya muda mchache tuliopata kutokea mchezo wetu uliopita, tuna baadhi ya Wachezaji wako sawa na kuna wengine wana uchovu. Lakini kwenye akili zetu tunajua ni nini tunataka na tuko hapa kutafuta alama 3" Kocha mkuu Pedro Goncalves


"Namba za wapinzani wetu hazidanganyi, wameruhusu magoli machache kwenye michezo waliyocheza na kila mara tukikutana nao...
06/12/2025

"Namba za wapinzani wetu hazidanganyi, wameruhusu magoli machache kwenye michezo waliyocheza na kila mara tukikutana nao tunakuwa na mchezo mgumu, hata kesho tunajua hautakuwa mchezo mrahisi lakini tuna kikosi bora na tutapambana kuhakikisha tunaondoka na alama 3" Kocha mkuu Pedros Goncalves


"Kwa niaba ya wachezaji wenzangu tumejiandaa vizuri kuwakabili Coastal Union kesho, ni kweli mechi zetu huwa zinakuwa na...
06/12/2025

"Kwa niaba ya wachezaji wenzangu tumejiandaa vizuri kuwakabili Coastal Union kesho, ni kweli mechi zetu huwa zinakuwa na ugumu lakini tunajua umuhimu wa mchezo wa kesho na tumejiandaa kuondoka na ushindi" Offen Chikola


27/10/2025

YANGA vs MTIBWA SUGAR: β€œDube anafanya vizuri mazoezini”
Kocha msaidizi wa Yanga SC, Patrick Mabedi, amesema anafahamu kuwa mshambuliaji wao Prince Dube amebeba mengi mabegani kwake lakini ni mchezaji ambaye anafanya vizuri mazoezini na anaamini kupitia mazoezi, mchezaji huyo atafanya vizuri.

Mabedi anasema Dube anapambana sana japo kwa sasa yupo katika presha.

Kocha huyo anasema yaliyopita yamepita na sasa wanaangalia ukurasa mpya na wanajua mechi iliyopo mbele yao.

Kwa upande wa mchezaji Offen Chikola anasema wamejipanga kuhakikisha wanawapa raha mashabiki wao.

Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE

(Imeandikwa na )

27/10/2025
𝐍𝐄𝐗𝐓 π”ππŸ”°πŸ†   πŸ†š Mtibwa Sugar (H)πŸ—“οΈ 28 October 2025🏟️ KMC Complex⏱️ 10:00 Jioni
27/10/2025

𝐍𝐄𝐗𝐓 π”ππŸ”°

πŸ†
πŸ†š Mtibwa Sugar (H)
πŸ—“οΈ 28 October 2025
🏟️ KMC Complex
⏱️ 10:00 Jioni


Viingilio vya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar
27/10/2025

Viingilio vya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar


Kikosi cha leo.Taarifa za kila mara kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.
26/10/2025

Kikosi cha leo.

Taarifa za kila mara kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.

Full time YANGA 2:0 SILVER STEKERS YANGA wanatinga makundi ya CAF CHAMPIONS LEAGUE πŸ”°πŸ”°
25/10/2025

Full time YANGA 2:0 SILVER STEKERS
YANGA wanatinga makundi ya CAF CHAMPIONS LEAGUE πŸ”°πŸ”°

Address

Bukoba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JLP news tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share