fizo_conscious

fizo_conscious Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fizo_conscious, Broadcasting & media production company, posta Road, Bunda.

Klab ya  Imemtambulisha mlinzi wao wa Kati mpya raia wa Uganda Deus Bukenya (27), Bukenya amewahi kuvichesea Vilabu vya ...
15/08/2022

Klab ya Imemtambulisha mlinzi wao wa Kati mpya raia wa Uganda Deus Bukenya (27),

Bukenya amewahi kuvichesea Vilabu vya Vipers, Police xl na Gaborone ya Botswana.

RASMI: Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) limetangaza kuwa Klabu ya Coastal Union itautumia Uwanja wa Uh...
14/08/2022

RASMI: Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) limetangaza kuwa Klabu ya Coastal Union itautumia Uwanja wa Uhuru Stadium uliopo Jijini Dar Es Salaam k**a Uwanja wao wa Nyumbani badala ya Ule uliozoeleka wa Mkwakwani uliopo Jijini Tanga.

Pia Shirikisho hilo limetangaza kuwa Klabu ya Geita Gold itautumia Uwanja wa CCM Kirumba k**a Uwanja wake wa Nyumbani badala ya Ule wa Nyankumbu Stadium.

Klabu ya Ruvu Shooting yenyewe itautumia Uwanja wa Uhuru Stadium badala ya Ule wa Mabatini uliopo Pwani.

Polisi Tanzania itautumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha badala ya Ule wa Ushirika Stadium uliopo Moshi. Klabu ya Dodoma Jiji FC itautumia Uwanja wa Liti Stadium uliopo Singida badala ya Ule wa Jamhuri Stadium uliopo Dodoma.

Imefahamika kuwa Klab ya  imeonyesha nia kuipata saini ya mshambuliaji wa  Yusuph Athuman, Huku taarifa za Kutoka ndani ...
14/08/2022

Imefahamika kuwa Klab ya imeonyesha nia kuipata saini ya mshambuliaji wa Yusuph Athuman, Huku taarifa za Kutoka ndani ya Management ya mshambuliaji huyo Ni kwamba kijana wao yupo katika mazungumzo na Vilabu vitatu (3) Kutoka nje ya Tanzania na muda' wowote Taarifa njema zinaweza kuja.

Nadiriki kusema Sasa RASMI  wameaganana na mazoea Yao waliyojiwekea ya kucheza Play Off Kila msimu, Sasa RASMI Baba paro...
14/08/2022

Nadiriki kusema Sasa RASMI wameaganana na mazoea Yao waliyojiwekea ya kucheza Play Off Kila msimu, Sasa RASMI Baba paroko amekubali kulima Miwa na kuzalisha sukari ya Wana turiani-Morogoro. All the best kiungo Mtulivu,mbunifu ✍️

Ni unyama kweli au miyeyusho???
07/08/2022

Ni unyama kweli au miyeyusho???

Nyieeeee aliyemruhusu Manara ni nan??¿
07/08/2022

Nyieeeee aliyemruhusu Manara ni nan??¿

USAJILI: Klab ya Coastal Union Imemtambulisha mlinzi wao mpya Raia wa Burundi Emery Nimubona, Ametokea klab ya Kayanza U...
06/08/2022

USAJILI: Klab ya Coastal Union Imemtambulisha mlinzi wao mpya Raia wa Burundi Emery Nimubona, Ametokea klab ya Kayanza United. Hawa Wanatoa jiwe wanaweka chuma ujue 🤭

Niyeyeeeeeeeeee Manara yupo huko njooni  🤭
06/08/2022

Niyeyeeeeeeeeee Manara yupo huko njooni 🤭

FT' FULHAM 2-2 LIVERPOOL ⚽NUNEZ ⚽SALAH ⚽⚽ALEKSANDAR  HAYA VYUMA VIMEANZA KUKAZA SASA.
06/08/2022

FT' FULHAM 2-2 LIVERPOOL ⚽

NUNEZ ⚽SALAH

⚽⚽ALEKSANDAR

HAYA VYUMA VIMEANZA KUKAZA SASA.

RASMI: Winga Yusuph Mhilu amerejea ndani ya Klab ya Kagera sugar akitokea Simba SC.
06/08/2022

RASMI: Winga Yusuph Mhilu amerejea ndani ya Klab ya Kagera sugar akitokea Simba SC.

FAIDA ZA UJIO WA MOSIMANE SIKU YA MWANANCHI Kwasasa barani Afrika, Kocha Bora ni  tena akiwa na rekodi ya kipekee ya kuw...
06/08/2022

FAIDA ZA UJIO WA MOSIMANE SIKU YA MWANANCHI

Kwasasa barani Afrika, Kocha Bora ni tena akiwa na rekodi ya kipekee ya kuwa kocha wa kwanza mzawa wa Africa kushinda CAFCL mara 3.

Alishinda na 2016 na mara mbili, 2020 na 2021 lakini alicheza fainali 2022 akafungwa na so ni Kocha Mkubwa sana Afrika kwasasa. Faida ya kwanza wanayoipata ni kupata coverage kubwa barani Africa na kwengineko kwasababu ya uwepo wa Kocha Nguli kwenye siku ya Mwananchi. Media kibao na wanahabari kupitia akaunti zao binafsi wamesha trendisha siku ya Mwananchi, pitia Pan Africa Football, Africa Soccer Updates na kwengineko utaona. Hii Coverage isingekuwa rahisi bila Pitso kuwepo Tanzania kwa jambo hilo.
Faida hii itaifanya Yanga ijulikane zaidi ambapo haijulikani au ianze kutazamwa kwa utofauti.

Faida ya pili, Ni Yanga SC kuongeza mtaji wa watu kwenye Social Media Accounts zao. Kule Twitter Pitso ana watu Milioni 1, IG anao 630k+ wengi wao wataifollow Yanga SC.

Atawaongezea wafuasi ambao wengi wao ni nje ya Jeografia ya Tanzania. Mileage itazidi. Watafuatiliwa zaidi. Hata hizo media pia zitawaongezea wafuasi Wananchi. Faida ya tatu, Pitso amewapa Yanga SC mipango ya kuitumia ili wawe wanafuzu hatua za mtoano za michuano ya CAFCL au CAFCC.
Amewaambia washinde nyumbani. Hapa Yanga watakuwa wamepata msisitizo wa kuwafanya waone kucheza kwa Mkapa kimataifa ni jambo nyeti zaidi k**a wafanyavyo Simba. Wabakishe alama 9, sare ugenini. Faida ya nne, Pitso amezidi kuwafumbua macho Wananchi.
Kawaambia watumie mitaala ya Ulaya pia kuwafundishia watoto ili wazoee mapema. Ujanja huu. Faida ya tano, Yanga SC imejirahisishia kwenye kualika wageni wakubwa kutoka Africa. K**a wapo na Pitso Samuel Eto'o atashindwa kuja? Ahmad Ahmad Je? Faida ya sita, Inazidi kusimika ule Ukubwa wa klabu ambao wanauongelea kila siku. Kwa Yanga SC ni fahari, heshima kubwa na Upekee kujumuika na Pitso. Anaipandisha hadhi. Faida zipo nyingi sana, pia atakuwa amepiga stori na Viongozi wa Yanga baadhi kuwapa picha ya Ukubwa katika mabadiliko ya Uendeshwaji wa vilabu barani Africa.

Lisandro Martínez na Harry Maguire ndio mabeki wa kati wanaotarajiwa kuanza dhidi ya Brighton leo hii, Raphael Varane ni...
06/08/2022

Lisandro Martínez na Harry Maguire ndio mabeki wa kati wanaotarajiwa kuanza dhidi ya Brighton leo hii, Raphael Varane ni chaguo la tatu la kocha Erik ten Hag, Lisandro amekuwa akifanya mazoezi na kikosi kitakachoanza mechi tangu Jumanne.

Address

Posta Road
Bunda
MARA

Telephone

+255752607367

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fizo_conscious posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to fizo_conscious:

Share