01/08/2026
💚💛FRED DUVAL NGOMA NDIO 'WAT A PLEYAA'
💚Ametambulishwa rasmi na Rais wa klabu ya , kwenye shughuli maalum iliyoambatana na wito kwa wananchi kujitokeza kesho kwenye Mkutano mkuu wa klabu yetu.
Umeiona mashine?