bongo press

bongo press Home Of News & Entertainment

30/06/2026

MchezajiI wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, amepata majeraha mabaya katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania.

Dulla makabila akifanya interview na wanahabari amesema kuwa yeye ana wanawake wengi kuliko hata ndugu
30/06/2026

Dulla makabila akifanya interview na wanahabari amesema kuwa yeye ana wanawake wengi kuliko hata ndugu

Wema Sepetu anasema kuna muda anamuangalia mtoto wake anashindwa kuamini kwamba ni kweli ana mtoto maana hakuwahi kutege...
25/06/2026

Wema Sepetu anasema kuna muda anamuangalia mtoto wake anashindwa kuamini kwamba ni kweli ana mtoto maana hakuwahi kutegemea kupata mtoto.

Mrembo kwa jina maarufu mitandaoni Miyo girl anasema wanawake wengi wanaodumu kwenye ndoa ni wajinga.
24/06/2026

Mrembo kwa jina maarufu mitandaoni Miyo girl anasema wanawake wengi wanaodumu kwenye ndoa ni wajinga.

Leyla wa DUNIA anawatambua wasanii wengi lakini yeye Role model wake mkubwa ni Wema Sepetu
23/06/2026

Leyla wa DUNIA anawatambua wasanii wengi lakini yeye Role model wake mkubwa ni Wema Sepetu

Muigizaji anayefahamika kwa jina la Leyla kwenye series ya Dunia, ameweka wazi kuwa hakuwahi kuomba nafasi ya kuigiza ka...
23/06/2026

Muigizaji anayefahamika kwa jina la Leyla kwenye series ya Dunia, ameweka wazi kuwa hakuwahi kuomba nafasi ya kuigiza katika tamthilia hiyo, bali alitafutwa na kupewa nafasi ya kujiunga na waigizaji wa series hiyo.

“Wengi hawafahamu, lakini mwaka 2010 nilimpoteza mtoto wa dada yangu, Esma Platnumz. Alikuwa mtoto wake wa kwanza kabisa...
23/06/2026

“Wengi hawafahamu, lakini mwaka 2010 nilimpoteza mtoto wa dada yangu, Esma Platnumz. Alikuwa mtoto wake wa kwanza kabisa,Othman, na alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa sickle cell (selimundu),” amefunguka Diamond Platnumz.

Kwa namna moja ama nyingine, kuwa kwenye mahusiano na Wema Sepetu kulimsaidia Diamond Platnumz kupata mwonekano mkubwa z...
22/06/2026

Kwa namna moja ama nyingine, kuwa kwenye mahusiano na Wema Sepetu kulimsaidia Diamond Platnumz kupata mwonekano mkubwa zaidi kwa wakati huo. Wengi wanaamini Wema alikuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya Diamond, na huenda Mungu alimtumia k**a daraja la kumfikisha kwenye kiwango kikubwa alichonacho leo kwenye muziki.

Eeeh kuna habari gani mjini huko😂😂
22/06/2026

Eeeh kuna habari gani mjini huko😂😂

Address

Tanzania
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bongo press posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share