Himaxafrika

Himaxafrika Himax Afrika Tunawasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali Kuandika Matangazo Yenye Kuuza

Nianze kwa kusema Free Offer kwa watu 10 tu wa mwanzo kwa sababu napenda tukue kwa pamoja.Twendelee...Unajua ni kwa nini...
28/10/2024

Nianze kwa kusema Free Offer kwa watu 10 tu wa mwanzo kwa sababu napenda tukue kwa pamoja.

Twendelee...

Unajua ni kwa nini wateja wengi wanatembelea profile yako Instagram lakini wanaondoka bila kununua?

Najua unajua hujui basi tega umakini wako nikupe sababu.

Wewe akaunti yako mtandaoni inatambulika k**a aina ipi ya Personal Account au Business Account?

Sasa hapa naongea na watu wa business account ambao ndio walengwa wa ujumbe huu.

Naomba nikwambie kwamba mteja anapokuja katika akaunti yangu ndani ya sekunde 10 akaunti yako inatakiwa ijibu maswali ya mteja haya:

1. Akaunti inahusika na nini?
2. Je, ni salama na ninaweza kuiamini?
3. Nifanye nini baada ya hapa?

Hayo ni maswali ya msingi sana ambayo yanatakiwa yajibiwe na yako ndani chini ya sekunde 10.

K**a itashindwa kujibu maswali hayo basi mteja ataondoka kwa sababu hajajibiwa maswali yake.

Sasa nikuulize angalia sasa hivi bio yako halafu uniambie nilichokwambia ni sahihi au umeamua kukaza fuvu 😂

Mfano angalia uandishi wa Bio yangu uone ilivyoandikwa imekujibu maswali yako.
By the way.
Mimi nafanya Page Audit and Optimization yaani Ukaguzi wa Page na Urekebishaji. Nakagua Page yako na kuangalia makosa na mapungufu halafu nayafanyia marekebisho.

Kwa kuwa leo ni siku ya rafiki yangu ya kuzaliwa napenda kuwapa OFA watu 10 wa mwanzo kuwafanyia Free Page Audit and Optimization.

Nitumie sms Whatsapp: 0623475974

PS:
OFA hii inaisha saa 6:00am leo usiku. Kumbuka nafasi ni watu 10 tu na hapa zimebaki 7 kwa sababu watu wa 3 waliniomba nifanye hii kwa hiyo wameshazichukua.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255623475974

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Himaxafrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Himaxafrika:

Share