Watu Wa System

Watu Wa System No Reform No Election | MTATIKI WENYEWE✔️

30/09/2025

😂

Utasikia Simba haichezi vizuri 😂
29/09/2025

Utasikia Simba haichezi vizuri 😂

Ameandika Alex Ngereza ✍️ ✍️ Kumfanisha Jean Charles na Pacome ni kumkosea heshima Jean Charles mkubali au mkatae ila Je...
29/09/2025

Ameandika Alex Ngereza ✍️ ✍️

Kumfanisha Jean Charles na Pacome ni kumkosea heshima Jean Charles mkubali au mkatae ila Jean Charles ni mashine nyingine hafai kufananishwa na mtu yoyote,yani,akili yake kwenye mpira ni kubwa kuliko kawaida.

Jean yuko direct sana kwenye matokeo kuliko kuleta udambwi udambwi uwanjani na hivi ndio wachezaji wa kisasa wanatakiwa kuwa wakiwa kiwanjani

Bila shaka kila mchezaji anaweza kujifunza kutoka kwa Jean Charles

Kumeanza Kuchangamka 😂
26/09/2025

Kumeanza Kuchangamka 😂

MOTM⭐️
26/09/2025

MOTM⭐️

25/09/2025

MVP anaendeleza pale alipoishia 2024/25

MVP
25/09/2025

MVP

Simba Mweusi JS3
25/09/2025

Simba Mweusi JS3

25/09/2025

Rushine anafunga bao la kwanza kwa Simba Sc msimu wa 2025/26

Simba wakikabidhiwa milion Tano za goli la mama
23/09/2025

Simba wakikabidhiwa milion Tano za goli la mama

Siku ya kwanza mazoezini kwa Kocha Morocco.
23/09/2025

Siku ya kwanza mazoezini kwa Kocha Morocco.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watu Wa System posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share