PAGE HII INAJIHUSISHA NA UTOAJI WA HABARI, SANAA, MICHEZO NA BURUDANI
27/05/2022
Msanii wa bongo flavor aina ya R&B BEN POL amepata shavu kushirikishwa katika wimbo na msanii kutoka nchini Ujerumani Juan Daniel Ibarra
27/05/2022
Mshindi wa miss Tanzania Halima Kopwe amealikwa bungeni
27/05/2022
Msanii Diamond Platnumz ametimkia mkoani mwanza kwajili ya show yake ya TOUR huku akiambatana na timu yake pia mwijaku akiwa ni mmoja wao
26/05/2022
Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania Tundaman amethibitisha kuwa gharama za video ya wimbo wake mpya ambao amemshirikisha kondeboy kuwa amelipia harmonize
26/05/2022
Kocha mkuu wa timu ya wananchi yanga amewatimua kambini wachezaji wawili Ambundo na Ntibazonkiza ikielezwa kuwa na utovu wa nidhamu kwa kutoroka kambini bila kuomba ruhusa
26/05/2022
26/05/2022
Msanii maarufu wa bongo flavor Harmonize ameweka wazi bei anazolipia plate number ya gari ambayo amesema amemnunulia aliekuwa mpenzi wake kwajili ya kuomba msamaha
Harmonize ameeleza hivyo kupitia status yake kwenye mtandao wa instagram
24/05/2022
Marioo aonesha wivu kwa mpenzi wake huku akidhihirisha kukagua massage
24/05/2022
Ibraah ametangaza jina la album take mpya "THE KING OF NEW SCHOOL"
24/05/2022
Tracklist ya albam ya Balaa Mc Balaa Mc "26 Kipaji"Balaa Mc "26 Kipaji" Balaa Mc "26 Kipaji"Balaa Mc "26 Kipaji"
24/05/2022
Balaa Mc Balaa Mc "26 Kipaji"Balaa Mc "26 Kipaji" Balaa Mc "26 Kipaji"Balaa Mc "26 Kipaji"ametangaza kuachia albamu yake yenye tracklist 10
24/05/2022
Tundaman ametangaza kuachia wimbo wake mpya akimshirikisha msanii Harmonize siku ya jumatano
24/05/2022
Hatimae wasanii watatu kutoka nchini Tanzania Diamond Platnumz Harmonize na Zuchu kushiriki kwenye tuzo katika kipengele kimoja k**a east Afrika best artist of the year
15/05/2022
Huenda kiungo mshambuliaji wa timu ya yanga FEOSAL SALUM ataelekea nchini Ufaransa huku akihusishwa kujiunga na moja ya timu inayoshiriki ligi daraja la pili nchini humo
15/05/2022
Msanii wa kizazi kipya CROWN BOE ameachia wimbo wake mpya. Nenda kwenye YouTube channel yake anatumia crown boe pia Instagram
Be the first to know and let us send you an email when NIGAZ Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.