
19/07/2025
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu k**a "Tshabalala", amethibitisha kuondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya mkataba wake kumalizika.
Tshabalala, ambaye amehudumu kwa muda mrefu akiwa sehemu muhimu ya timu hiyo, ameagana na Wekundu wa Msimbazi huku akiacha kumbukumbu ya mchango mkubwa uwanjani na nje ya uwanja.