14/12/2025
: Rais wa Klabu yetu, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu(ACA) na Mjumbe wa kamati ya mashindano ya vilabu FIFA, Eng. Hersi Said akiwasili pamoja na Makamu wa Rais wa Klabu yetu Arafat Haji kwenye Kongamano lililoandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) kwa siku mbili kwenye mji wa Doha, Qatar.
Rais wetu amechaguliwa kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha kwenye mada ya Mfumo wa mabadiliko ya Klabu.
Cc
βΌοΈπ₯