10/04/2023
DRC to TZ
Simba SC na Eric Kabwe (21) wamefikia makubaliano ya mdomo kwa nyota huyo wa AS Vita Club kujiunga na wababe hao wa Tanzania msimu ujao.
Hakuna mkataba wa awali ambao umetiwa saini bado lakini ni makubaliano ya mdomo tu katika hatua hii.
Klabu za Afrika Kusini, Sudan, Morocco, Algeria na Saudi Arabia zimewasiliana na wakala wake kwa ajili ya kutaka kuhama lakini mchezaji huyo aliweka wazi kuwa atachezea Simba.
Elewa; Kabwe atajiunga k**a mchezaji huru.
Discuss about football