SanaaZone+

SanaaZone+ Tuna pasha habari za
πŸ‘‰ Sanaa
+πŸ‘‰ Mazingira
πŸ‘‰ Haki za binadamu (HR)
πŸ‘‰Sayansi na technolojia
πŸ‘‰ Michezo

Haya mavazi ya   ushawai iona fasi nyingine? sema ukweli kwenye comment πŸ‘‡πŸ‘‡??
11/07/2025

Haya mavazi ya ushawai iona fasi nyingine?
sema ukweli kwenye comment πŸ‘‡πŸ‘‡??

https://youtube.com/?si=ugDSF1_qJOL6tTL0SUBSCRIBE πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
11/07/2025

https://youtube.com/?si=ugDSF1_qJOL6tTL0

SUBSCRIBE πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Share your videos with friends, family and the world

11/07/2025

Msanii ajaza uwanja wa . πŸ‡ΈπŸ‡Έ 50k watu weme kusanyika

🚨kazi imeenda vizuri .   ime fanyikiwa ku gusa watu 111k katika mwezi mmoja na ngoma yao "KURAPUKA" .
10/07/2025

🚨kazi imeenda vizuri . ime fanyikiwa ku gusa watu 111k katika mwezi mmoja na ngoma yao "KURAPUKA" .

  ame tamka ya kwake .wewe una fwata nini kwenye mahusiano ya ma penzi? tuandikie kwenye comment πŸ‘‡πŸ»
09/07/2025

ame tamka ya kwake .
wewe una fwata nini kwenye mahusiano ya ma penzi?
tuandikie kwenye comment πŸ‘‡πŸ»

Happy birthday πŸŽ‚
09/07/2025

Happy birthday πŸŽ‚

Hii ikifika huku, una dhani msanii gani wa k**e ata kuwa wa kwanza ku tamba na hii fashion ?   πŸ”₯
08/07/2025

Hii ikifika huku, una dhani msanii gani wa k**e ata kuwa wa kwanza ku tamba na hii fashion ?
πŸ”₯

🚨Baadhi ya wataalam wa mziki tulio zungumza nao kuhusu swala la   kuhusishwa kati kushusha ngoma za wasanii wakubwa, haw...
08/07/2025

🚨Baadhi ya wataalam wa mziki tulio zungumza nao kuhusu swala la kuhusishwa kati kushusha ngoma za wasanii wakubwa, hawa wali sema "hiyo ni tabiya ya ku taka ku pata umaarufu mapema na bado haja fanya kazi"
Hii ina kuja Siku chache baada ya msanii ku husishwa tena katika changamoto yaku shushwa kwa ngoma ya huko . Jambo ambalo ame kanusha .

Una kubaliana na kauli za wataalam hawa?

πŸ˜€
04/07/2025

πŸ˜€

Nipe jina la   mwenye jezi la  , na ana fanya sanaa aina gani?
01/07/2025

Nipe jina la mwenye jezi la , na ana fanya sanaa aina gani?

Kijana mwenye bidii Mista Champagne
27/06/2025

Kijana mwenye bidii
Mista Champagne

πŸ“°   Azidi Kung’ara Ulaya kwa Maonyesho 44 ya Moja kwa Moja! (Live performance)Kuanzia Juni 26 hadi Septemba 6, 2025, msa...
26/06/2025

πŸ“° Azidi Kung’ara Ulaya kwa Maonyesho 44 ya Moja kwa Moja! (Live performance)

Kuanzia Juni 26 hadi Septemba 6, 2025, msanii maarufu GIMS, mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRCπŸ‡¨πŸ‡©) anayeishi na kufanya kazi nchini Ufaransa, atafanya jumla ya maonyesho 44 ya moja kwa moja barani Ulaya.

Hii si tu ratiba ya kawaida ya msanii, bali ni uthibitisho dhahiri wa ukubwa na ushawishi wa GIMS kwenye tasnia ya muziki ya kimataifa. Maonyesho haya yanamuweka katika nafasi ya juu miongoni mwa wasanii wa Kiafrika wanaoheshimika na kuhitajika sana duniani.

Lakini swali linabaki kwa baadhi ya wasanii wa Afrika ambao hujipachika majina k**a "mastaa wakubwa", "wakali wa game", au "vigogo wa burudani", ilhali kwa mwaka mzima hawawezi hata kuandaa au kushiriki maonyesho makubwa matano tu yenye hadhi ya kimataifa.

> K**a kweli wewe ni msanii mkubwa – je, mbona ratiba zako za maonyesho hazionekani zaidi ya kelele, drama na mapicha ya mitandaoni yasiyo na tija?

GIMS si tu msanii – ni chapa, ni hadhi, na ni nembo ya mafanikio ya kweli kwa wasanii wa Kiafrika wanaojituma bila kelele.

🟒 Je, wasanii wetu wa nyumbani wako tayari kuwekeza katika kazi halisi badala ya drama zisizo na mbele wala nyuma?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SanaaZone+ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SanaaZone+:

Share