Janja Radio

Janja Radio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Janja Radio, Radio Station, Makongoro, Dar es Salaam.

Siku za hivi karibuni tutafanya majaribio, hii sio ya kukosa mdau lakini lengo letu ni kutaka kujua ubora wa vifaa na ku...
16/03/2021

Siku za hivi karibuni tutafanya majaribio, hii sio ya kukosa mdau lakini lengo letu ni kutaka kujua ubora wa vifaa na kumtambulisha mtangazaji mpya wa k**e.

12/03/2021

Hivi punde tutapatikana kupitia mtandaoni Janja Radio
07/03/2021

Hivi punde tutapatikana kupitia mtandaoni Janja Radio

Janja Radio ROOMTunawashukuru wadau wetu kwa kuwa pamoja nasi kuanzia kwenye Janja tv mpaka Leo tupo katika upande wa  ,...
27/02/2021

Janja Radio ROOM

Tunawashukuru wadau wetu kwa kuwa pamoja nasi kuanzia kwenye Janja tv mpaka Leo tupo katika upande wa , bado aijaanza kazi lakini maandalizi ndio k**a haya.

Sio kwa ujanja wetu bali ndio anae tuwezesha, ila wale mnao tucheka, mnao tukatisha tamaa tambueni sisi atuangalii nyuma sisi tunasonga mbele.

Tunashukuru sana kwa mnavyo jitoa kihali na mali bila majivuno wala maringo kweli nyinyi ni viongozi wetu
Mfanisi Tz ukiwa na Janjason Sonicar endeleeni kupambania brand isonge mbele zaidi wawili k**a mpo milioni kwa juhudi.

Mnakaribishwa sana kwa wenye vipaji vya kutangaza.

Address

Makongoro
Dar Es Salaam

Telephone

+255654650696

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Janja Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category