Mtu Poa

Mtu Poa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtu Poa, Digital creator, Dar es Salaam.
(5)

✅Ukrasa rasmi wa Mtu Poa .
• Tunafanya ufukunyuzi wa masuala ya soka:
> Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club
> Uchambuzi na data za soka
> Usajili wa wachezaji na tetesi za usajili
▶️YouTube: Mtu Poa Sports HD
📞contract: +255745922142

🚨 RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa 1️⃣ Real Madrid 🇪🇸2️⃣ Bayern Munich 🇩🇪 ⬆️3...
13/08/2025

🚨 RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa

1️⃣ Real Madrid 🇪🇸
2️⃣ Bayern Munich 🇩🇪 ⬆️
3️⃣ Inter Milan 🇮🇹 ⬆️
4️⃣ Manchester City 🏴⬇️
5️⃣ Liverpool 🏴⬇️
6️⃣ Paris Saint-Germain 🇫🇷 ⬇️
7️⃣ Bayer Leverkusen 🇩🇪 ⬆️
8️⃣ Borussia Dortmund 🇩🇪 ⬆️
9️⃣ Barcelona 🇪🇸 ⬆️
🔟 AS Roma 🇮🇹 ⬇️

(Chanzo: Football Tweets)

🏟Kenya imepigwa faini ya USD 50,000 [TZS milioni 127.8] kwa makosa ya kiusalama katika mechi dhidi ya Morocco iliyofanyi...
13/08/2025

🏟Kenya imepigwa faini ya USD 50,000 [TZS milioni 127.8] kwa makosa ya kiusalama katika mechi dhidi ya Morocco iliyofanyika Uwanja wa Moi, Kasarani.

Bodi ya Nidhamu ya CAF imetishia kuhamishia mechi za timu ya Kenya nchini Uganda au Tanzania iwapo makosa hayo yataendelea.

Umeipokeaje taarifa hii?

🚨 Taarifa Mpya: Chelsea FC imefikia makubaliano rasmi na RB Leipzig kuhusu kumsajili Xavi Simons kwa ada ya takribani €6...
13/08/2025

🚨 Taarifa Mpya: Chelsea FC imefikia makubaliano rasmi na RB Leipzig kuhusu kumsajili Xavi Simons kwa ada ya takribani €60m, huku ikitarajiwa kumpa mkataba wa muda mrefu.

Kabla ya kukamilisha rasmi usajili huu, Chelsea inasubiri kumuuza mchezaji mmoja ili kufungua nafasi ya kusajili. 💰

Chanzo: Football Tweets

13/08/2025

Acha nikae kimya...!!
😌

🏟⌚Hii ndiyo ratiba ya mechi za leo, Jumatano tarehe 13 Agosti 2025:⚽ 17:00 – Madagascar 🇲🇬 vs Jamhuri ya Afrika ya Kati ...
13/08/2025

🏟⌚Hii ndiyo ratiba ya mechi za leo, Jumatano tarehe 13 Agosti 2025:

⚽ 17:00 – Madagascar 🇲🇬 vs Jamhuri ya Afrika ya Kati 🇨🇫
⚽ 19:00 – Juventus FC vs Juventus Gen
⚽ 20:00 – Mauritania 🇲🇷 vs Burkina Faso 🇧🇫
⚽ 22:00 – Paris Saint-Germain vs Tottenham Hotspur

🔥 Usikose burudani ya soka leo jioni!

🏟 FULL TIME – CHAN 2024⚽Sudan 4 – 0 🇳🇬 NigeriaSudan wameonyesha ubabe mkubwa wakipata ushindi mnono kwa mabao manne bila...
12/08/2025

🏟 FULL TIME – CHAN 2024
⚽Sudan 4 – 0 🇳🇬 Nigeria

Sudan wameonyesha ubabe mkubwa wakipata ushindi mnono kwa mabao manne bila majibu dhidi ya Nigeria!
Ushindi huu unawapa morali kubwa katika safari yao ya michuano ya CHAN 2024.

🚩 MWISHO WA MCHEZO – Club Friendly🇨🇭 Grasshopper 1️⃣–2️⃣ 🇩🇪 Bayern Munich⚽ Dakika ya 21 Karl aliwapa Bayern bao la kuong...
12/08/2025

🚩 MWISHO WA MCHEZO – Club Friendly

🇨🇭 Grasshopper 1️⃣–2️⃣ 🇩🇪 Bayern Munich

⚽ Dakika ya 21 Karl aliwapa Bayern bao la kuongoza, na dakika ya 26 Kusi-Asare akaongeza la pili.
⚽ Dakika ya 51 Loris akapunguza pengo kwa Grasshopper, lakini haikutosha kuzuia ushindi wa Wajerumani.

12/08/2025

🏟🏆|| LINGINEEEE...!
- CHAN 2024
⏰ - 62'
Sudan 4-0 Nigeria

12/08/2025

🏟🏆|| GOOOOAL...!
CHAN 2024
⏰ - 55'
Sudan3-0 Nigeria

🏟 MAPUMZIKO – CHAN 2024⏸ Matokeo ya muda:⚽ 🇸🇩 Sudan 2 – 0 🇳🇬 NigeriaSudan inaongoza kwa mabao mawili kipindi cha kwanza!...
12/08/2025

🏟 MAPUMZIKO – CHAN 2024
⏸ Matokeo ya muda:
⚽ 🇸🇩 Sudan 2 – 0 🇳🇬 Nigeria

Sudan inaongoza kwa mabao mawili kipindi cha kwanza!
Je, Nigeria watarudi kipindi cha pili na kubadilisha matokeo?

12/08/2025

🏟Goooooal
⚽khidir
⌚Dkk 44
Sudan 2 - 0 Nigeria

12/08/2025

Sudani wanapata penati
⌚Dkk 42

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu Poa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share