Jaden Exclusive

Jaden Exclusive NEW SPORTS NEWS /REALITY LIFE

25/01/2025

With Young Africans Sports Club – I'm on a streak! I've been a top fan for 6 months in a row. πŸŽ‰

Djigui Diarra You are the strength of every fan and we will continue to pray and this is a matter of time will pass. Ski...
27/11/2024

Djigui Diarra You are the strength of every fan and we will continue to pray and this is a matter of time will pass. Skiing is not falling, we love you very much πŸ€²πŸ™πŸ’ͺ..
Please say anything here, your fans and YANGA for the week, be proud of your presence brother.

22/10/2024

πŸ˜ͺπŸ˜ͺ Yatapita tuu ni suala la muda

🀣🀣🀣Hii ndio TANZANIA
15/10/2024

🀣🀣🀣Hii ndio TANZANIA

Wapambanaji wetu kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo

✍️...DUUH!  Muda mwingine Tanzania Football Federation mna fail sana katika suala la kutafuta COACH wa timu ya taifa..  ...
10/10/2024

✍️...
DUUH! Muda mwingine Tanzania Football Federation mna fail sana katika suala la kutafuta COACH wa timu ya taifa..
Sio kweli kuwa TANZANIA hatuna Timu ya kushinda ila tu ni ufinyu wa mawazo kwa uongozi ...
1...KWANINI KOCHA NI MBOVU?
*Hii ni mechi ya kufuzu AFCON lakini unaita wachezaji wa kucheza CHAN🫒🫑
*Unaacha wachezaji wenye hadhi ya Kucheza michuano Mikubwa k**a hii
mf..NOVATUS DISMAS_mchezaji aliyecheza hadi UEFA Champions.πŸ˜ͺ
-SIMON MSUVA....Mchezaji ambaye anauchungu na timu yake na mara nyingi ameipa timu matokeo....πŸ˜“
_HAJI MNOGA...Japo anacheza ligi ya chini lakini hakuna mchezaji wa TZ anaemzidi kiwango kwa upande wa namba anayo cheza✍️
Na wengine wengi πŸ₯ΉπŸ₯Ή

Hii inaumoza sana kuaminishwa timu ya Taifa ni mbovu wakati tunajua hapo mbovu ni mmoja tuuu ✍️..KOCHA hakuna..

Kingine tujaribu kuangalia Mafanikio ya Kocha tulie naeπŸ˜†πŸ˜† ...Duuh Inamaana Hata MGUNDA Hatujamwona
Hii ndo TANZANIA nchi yenye Mdomo sana 🫑

✍️....Timu zilizopangwa kukutana na Simba SC Tanzania  pamoja na  Young Africans Sports Club  ktk hatua ya Makundi CAFCL...
07/10/2024

✍️....Timu zilizopangwa kukutana na Simba SC Tanzania pamoja na Young Africans Sports Club ktk hatua ya Makundi CAFCL & CAFCC...

π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œβš½ Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi CBE
14/09/2024

π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œβš½

Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi CBE



KIKOSI CHA TAIFA STARS         MUNGU IBARIKI TANZANIA
10/09/2024

KIKOSI CHA TAIFA STARS
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Umejifunza nini hapa mdau wa mpira    Baada ya FEISAL Kufunga goli  na DUBE kusawazisha goliTukutane kweny Comment
11/08/2024

Umejifunza nini hapa mdau wa mpira
Baada ya FEISAL Kufunga goli
na DUBE kusawazisha goli

Tukutane kweny Comment

Hichi hapa kikosi cha Wananchi Young Africans Sports Club
08/08/2024

Hichi hapa kikosi cha Wananchi Young Africans Sports Club

πŸ§ π—‘π—¬π—œπ—˜ π—ͺπ—˜π—‘π—­π—”π—‘π—šπ—¨ π—©π—œπ—£π—œ."Djgui diara anapiga ndefu kwake farid musa anachanja mbuga kumuweka fistoooooooooo""Mimi ni U17 has...
06/08/2024

πŸ§ π—‘π—¬π—œπ—˜ π—ͺπ—˜π—‘π—­π—”π—‘π—šπ—¨ π—©π—œπ—£π—œ.

"Djgui diara anapiga ndefu kwake farid musa anachanja mbuga kumuweka fistoooooooooo"

"Mimi ni U17 hasheem ibwe nitakuwa nawe sako kwa bako kukuletea mchezo huu, either utapika au kuutafuna mbichi"

Leo nimekikumbuka kinywa cha mtangazaji maridhawa mwenye sauti ya Mamlaka katika studio za tajiri muuza ukwaju bakheresa.

✍️...SEMENI KINGINE TENA.K**a mlitaka sold out ya wananchi hiii hapa kilicho baki ni Njano na Kijani tuu uwanjani πŸ’šπŸ’›
02/08/2024

✍️...SEMENI KINGINE TENA.
K**a mlitaka sold out ya wananchi hiii hapa kilicho baki ni Njano na Kijani tuu uwanjani πŸ’šπŸ’›

WIKI YA MWANANCHIπŸ“Œ      Watakuepo HHarmonizeChristian Bella DJ Ally BKitawaka✍️
01/08/2024

WIKI YA MWANANCHIπŸ“Œ
Watakuepo
HHarmonizeChristian Bella
DJ Ally B
Kitawaka✍️

Who is this Guy? πŸ€”πŸ€”
31/07/2024

Who is this Guy? πŸ€”πŸ€”

Daaah ila Hii nchiπŸ™„πŸ™„
31/07/2024

Daaah ila Hii nchiπŸ™„πŸ™„

πŸš¨πŸŽ™οΈπŸ˜ Zlatan Ibrahimovic : "Mpenzi wangu wa kwanza K**a mchezaji wa soka ya kulipwa aliwahi kuomba nimmpe pesa €100 000 ,...
31/07/2024

πŸš¨πŸŽ™οΈπŸ˜ Zlatan Ibrahimovic :
"Mpenzi wangu wa kwanza K**a mchezaji wa soka ya kulipwa aliwahi kuomba nimmpe pesa €100 000 , na lengo la pesa hizo alisema kua anahitaji kuhudhuria sherehe huko Nchini Marekani.

Nilimjibu : Β« skiza mrembo wangu mzuri. Wewe hata ukini cheat sio shida mtafute mwanaume mjinga ambae atakaekupea pesa k**a hizo ili usafiri maeneo tafauti duniani ila sio Mimi ! Β»

Mfano kwa sasa yeye ndio mpenzi, yeye ndiye angekua mwanamke tajiri duniani na wakati Hana Kazi yeyote yeye ahongwe huku Mimi niteseke uwanjani
!
Mwisho kabisa nilimwambia « kua makini sana linapokuja swala la kuniomba pesa. Mimi Ndio naamua nikupe pesa ila sio wewe unadhani pesa ni kutoa tuu. Sasa ikiwa hutovumilia nenda wewe sio chaguo sahihi kwangu . Comment yako Tafadhi....✍️✍️✍️

✍️....Je unazikumbuka hizi Sura?    Benchika ni k**a alituaminisha kuwa wachezaji ni wabovu ili kulinda CV yake kutokana...
31/07/2024

✍️....Je unazikumbuka hizi Sura?
Benchika ni k**a alituaminisha kuwa wachezaji ni wabovu ili kulinda CV yake kutokana na kutokimudu kikosi cha Simba....mwisho wa siku anafanya machaguo ma 2 ndani ya kikosiπŸ€“

✍️...Bonus kwa Shabiki wa Young Africans Sports Club    β€œTumeandaa Kampeni maalumu kwa mashabiki wote wa Yanga Sc, tutak...
30/07/2024

✍️...Bonus kwa Shabiki wa Young Africans Sports Club
β€œTumeandaa Kampeni maalumu kwa mashabiki wote wa Yanga Sc, tutakuwa tunagawa jezi mpya za msimu huu k**a zawadi kwa mashabiki wa Yanga Sc kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi” Tracy Humplick - Meneja Masoko wa TZ Sportpesa


Address

KARIAKOO
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jaden Exclusive posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share