IgV255

IgV255 Digital Content Chamber 255🇹🇿

Mtaani Season 1

Ndio tumeanza kukusanyika hapa Kinyiweni, pembeni ya uwanja wa mpira “Kazi yenye hela itakayokupa utajiri”
19/09/2026

Ndio tumeanza kukusanyika hapa Kinyiweni, pembeni ya uwanja wa mpira “Kazi yenye hela itakayokupa utajiri”

Kwa kilugha chenu huwa mnaiitaje hii💣
19/09/2026

Kwa kilugha chenu huwa mnaiitaje hii💣

Shafii Rashid (23), mganga wa kienyeji kutoka Kijiji cha Nanguruwe, Mtwara, ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwa...
18/09/2026

Shafii Rashid (23), mganga wa kienyeji kutoka Kijiji cha Nanguruwe, Mtwara, ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kwa tuhuma za kumbaka mteja wake mwanamke wa miaka 30.

Tukio linadaiwa kutokea Septemba 14, 2026 nyumbani kwa mwanamke huyo Kata ya Ziwani baada ya mtuhumiwa kumlaghai kuwa anampaka “dawa” itakayomsaidia kutatua tatizo la mtoto wake. Polisi wanasema uchunguzi unaendelea na atafikishwa mahakamani ukimalizika.

Kikawaida mganga anatakiwa kuwa na miaka kwanzia mingapi ?💣

18/09/2026

Dudu Baya, awashtua wengi baada ya kuonekana akiongoza sala fupi ya kushukuru baada ya safari salama.

Inaitwaje ile movie yupo huyu jamaa, huwa unaikubali kinoma ? Tuicheki weekend hii
18/09/2026

Inaitwaje ile movie yupo huyu jamaa, huwa unaikubali kinoma ? Tuicheki weekend hii

Ben Pol, kasema “Mawazo” wewe unasema ngoma gani unaikubali mbaya toka kwa Diamond na Bob Manecky💣
18/09/2026

Ben Pol, kasema “Mawazo” wewe unasema ngoma gani unaikubali mbaya toka kwa Diamond na Bob Manecky💣

Diamond Platnumz Baada ya Kufika Nyumba L, kwa Lady Jaydee kwa mara ya kwanza.
16/09/2026

Diamond Platnumz Baada ya Kufika Nyumba L, kwa Lady Jaydee kwa mara ya kwanza.

Tunaendelea kukusanya movie za kucheki weekend, Jambalika gani huwa unamkubali vibaya kwenye movie achekeshi💣
16/09/2026

Tunaendelea kukusanya movie za kucheki weekend, Jambalika gani huwa unamkubali vibaya kwenye movie achekeshi💣

Jinsi ya kutafuta maumivu kwa lazima
16/09/2026

Jinsi ya kutafuta maumivu kwa lazima

Japan inaongoza duniani kwa kuwa na watu wengi wenye umri wa zaidi ya miaka 100. Kwa sasa Japan ina watu 107,677 wenye u...
16/09/2026

Japan inaongoza duniani kwa kuwa na watu wengi wenye umri wa zaidi ya miaka 100. Kwa sasa Japan ina watu 107,677 wenye umri wa zaidi ya miaka 100, huku 88% ya watu hao ni Wanawake. Tena Idadi ya Wazee nchini Japan ni kubwa kuliko watoto wanaozaliwa, hii ni changamoto kubwa kwao.

Ukipata muda kukaa meza moja na Wazee wa Japan swali kubwa ungewauliza💣

Address

070000000
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IgV255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share