
06/07/2025
Arsenal wamemsajili kiungo Martin Zubimendi kutoka Real Sociedad kwa mkataba wa dau la £51M.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania ametia saini kandarasi ya miaka Mitano atayaoitumikia katika uwanja wa Emirates baada ya Arsenal kukubali uhamisho huo tangu mwezi Machi.
Zubimendi atavaa jezi nyenye number 36 mgongoni akiwatumikia wekundu hao wa London.
NB:
Msimu huu sio wa kugombea nafasi ya pili tena.. Ni Ubingwa tu..