Emmanuel Robert Mfimba

Emmanuel Robert Mfimba Lengo kuu ni ni kujifunza neno la Mungu pia kumjua Mungu na nguvu zake

04/09/2021

Nimejifunza kitu kwa hawa huyu mwimbaji Kwanza anautulivu mnoo

28/05/2021

MIMI NAJUA YA KUWA MTETEZI WANGU YUHAI,

WEWE ULIEKATA TAMAA KUANZIA LEO TAMBUA KUWA MTETEZI WETU YU HAI

20/01/2021
20/01/2021

Rev.Deming marecan ibada ya mawimbi karibuni EAG kisemvule yupo MUNGU Anaetoa chemichemi za baraka katika maisha yako atayafuta ya kale na ataweka mwanzo mpya

25/11/2020

Hao maadui zako huta waona Tena nakutangazia mwanzo mpya wa kubarikiwa katika afanya katika uchumi katika ndoa yako katika kazi yako katika kuinuka kutoka chini kwenda juu yes inawezekana katika JINA KUU TAKATIFU LA YESU ALIE HAI

05/04/2020

Kwa msaada wa Bwana tutashinda ya dunia

20/02/2020

K**a si wewe BWANA ningekuwa wapi hakika utabaki kuwa Mungu tu hakuna wa kufanana na wewe, daima

18/02/2020

Heri kung'ang'ania kwa BWANA Bila kujali kitu chochote hata wakikupiga wewe ng'ang'ana hata wakikutenga wewe ng'ang'ana Mungu hawezi kukutenga

14/02/2020

Heli wa mtumainio BWANA hakika hawatatikisika

13/02/2020

Sikia ndg MUNGU hadhiakiwa apandacho mtu ndichoatakacho vuna

Address

Emmanuel5mfimba@gmail. Com
Dar Es Salaam

Telephone

+255753490022

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmanuel Robert Mfimba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share