yetusote_tv

yetusote_tv Yetusote TV kwa Habari za burudani , udaku na Michezo

17/09/2026

Mwamba Ally Sharty maarufu k**a CHICO according to Ahmed Ally eti ndio aliyemleta Star Boy Doumbia pale Msimbazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

16/09/2026

Star Boy Libasse Gueye πŸ”₯ kiukweli anaendelea kuonesha kuwa sio Mchezaji wa kawaida kawaida au Mchezaji wa Timu ndogo tu.

Ameendelea kutoa mateso kwa Mabeki wa Timu pinzani kila anapoingia Dimbani, Simba bila Libasse nisawasawa kabisa na Pilau bila Nyama.

Leo tena ameonesha kwanini yeye ndio Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti....What a player πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

15/09/2026

Wananchi hawataki hekaheka kidogo tu washaanza vikao ndani ya uwanja πŸ™Œ

Raisi naona ajapendezwa na Jinsi walivyoimaliza mechi ya Leo dhidi ya Geita Gold huku wasiwasi ukiendelea kutanda mbele ya Mbinu za Mangoba Mngqithi.

Kitu kizuri kwake ni kuwa tunaenda mapunziko ya Mechi za Kimataifa ko atakuwa na wakati mzuri wa kujua anakosea wapi na wapi anapatia Ili aendelee kuboresha kiwango Bora cha Wananchi.

Lasivyo tunaweza tusiwe nae

15/09/2026

FULL-TIME NBC PREMIER LEAGUE

YANGA SC 1-0 GEITA GOLD
⚽ CAMARA

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
17109

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when yetusote_tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to yetusote_tv:

Shortcuts

Share