Lokoma Tv

Lokoma Tv Broadcasting & media production company
Officials page For Lokoma Tv Channel

22/07/2025

Ila huyu baba jaman

Klabu ya  imekamilisha usajili wa  kutoka Tabora United
22/07/2025

Klabu ya imekamilisha usajili wa kutoka Tabora United

Mtangazaji maarufu kutoka Bongo 24  amefanya Send-off ambayo toka mwaka huu uanze haijawahi kutokea kitu ambacho kinaone...
22/07/2025

Mtangazaji maarufu kutoka Bongo 24 amefanya Send-off ambayo toka mwaka huu uanze haijawahi kutokea kitu ambacho kinaonesha kuwa Mtangazaji Mamen alikuwa amejipanga kwa kina kwenye hili jambo lake .
Lakini pia amegeuka mfano kwa vijana walikuwepo kwenye tasnia ya utangazaji kutamani kuingia kwenye ndoa jambo ambalo lilikuwa ni gumu kwa vijana kwenye tasnia ya Utangazaji.

ameandika mwanasheria mwabukusi kupitia page yake yaFacebookKatika nyakati za uchaguzi, taifa letu hujaa kelele, ahadi, ...
21/07/2025

ameandika mwanasheria mwabukusi kupitia page yake ya
Facebook

Katika nyakati za uchaguzi, taifa letu hujaa kelele, ahadi, na vilio bandia vya mashujaa wa kisiasa waliolala wakati wa dhiki, lakini sasa wanajivika mavazi ya uzalendo ili warudishe imani ya wananchi kwao.

Ni kipindi ambacho kila kona huchipuka mashujaa wa ghafla wale waliokaa kimya tulipolia, waliotabasamu tulipoteseka, sasa wanakuja kutuambia wamesikitika kwa hali ya nchi, wakitamani tuwaamini kuwa wako nasi.

1. Mashujaa wa ghafla waliolia tulipolia, lakini hawakuwapo tulipoumia
Wapo wanaojifanya kuguswa na matatizo yetu ya kidemokrasia, kiuchumi, na kijamii. Lakini historia inatufundisha kuwa tulipokandamizwa, walitazama kwa ukimya kwasababu walikuwa wala kunde nasisi tulibaki kuwa watupa Maganda.

Walishiriki kufubaza haki na kununua wapinzani k**a karanga walijifanya hawasikii kilio chetu cha maumivu ulikuwa muziki mororo uliosindikiza usingizi wao baada ya kuvimbiwa na utamu wa hatamu za madaraka.
Waliona misiba na malalamiko yetu k**a tamthilia ya runinga leo wanataka tusahau mateso yetu na tujiunge nao kulia msiba waliochangia kuumba.
Machozi yao si ya dhati, ni machozi ya mamba wenye kiu ya hatamu za madaraka.

Hello Customer, I hope you are doing well. I wanted to inform you that our movie will be released soon on YouTube. We ha...
21/07/2025

Hello Customer, I hope you are doing well. I wanted to inform you that our movie will be released soon on YouTube. We have worked very hard on this project and are excited to finally share it with a wider audience. The YouTube release will make it easy for viewers to watch the film at their own convenience. We would appreciate your support in helping us promote the movie once it is live. Thank you for your time, and I look forward to sharing this project with you soon. Visit us at empirelokomaltd.com

Staa wa Bongo Fleva, , ameweka wazi hadharani maelezo ya mkataba wake na kampuni kubwa ya kimataifa ya muziki, Warner Mu...
21/07/2025

Staa wa Bongo Fleva, , ameweka wazi hadharani maelezo ya mkataba wake na kampuni kubwa ya kimataifa ya muziki, Warner Music Group, kufuatia hoja ya mdau aliyehoji kuhusu sababu za wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo kubwa k**a wasanii wa Nigeria.

Kupitia majibu yake kwenye chapisho hilo alihoji uelewa wa mdau huyo kuhusu "lebo za kimataifa" na kufichua historia ya ofa alizopata kutoka kwa makampuni mbalimbali ya muziki duniani.
"Lebo ya Kimataifa kwako wewe ni zipi labda?.... Nilimaliza
Mkataba na Universal kwa Dola Milioni Moja, Rocnation
wakanioffer DOLAR $250,000 sawa na Tsh 675,000,000
nikakataa, Warner wakanioffer Dollar Million 5 sawa na Bilioni 13.5 nikasign na Warner na ndio hao nafanya nao kazi..." aliandika Diamond

21/07/2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya ...
20/07/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand, Miss World Africa Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia, Kizimkazi Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Pia kikao hicho kimehudhuriwa na Viongozi wa Wizara ya Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja viongozi wa Maliasili na utalii. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kiljadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026

Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto kar...
20/07/2025

Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia leo July 20,2025.Tayari timu ya uokoaji ya kitaifa ya Indonesia imeanza jitihada za kuokoa Watu.

Wachezaji wa timu za taifa Rachael Kundananji wa Zambia na Michelle Alozie wa Nigeria wakibadilishana jezi baada ya mche...
20/07/2025

Wachezaji wa timu za taifa Rachael Kundananji wa Zambia na Michelle Alozie wa Nigeria wakibadilishana jezi baada ya mchezo kati ya Nigeria na Zambia kwenye michuano ya mataifa Afrika ya wanawake kumalizika.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lokoma Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lokoma Tv:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share