Hub of Wisdom Inc.

Hub of Wisdom Inc. ‣ Our Mission is TO BUILD YOU
‣ Our Business is TO BUILD YOURS
‣ Join the family .club.11
‣ 📹 Inquiries —> 0753825794
‣ Visit us👇You’ll love it!

09/01/2026

Siku k**a ya jana, alizaliwa mtata wa tasnia ya filamu Tanzania Steven Kanumba

.inc

09/01/2026

Dr. Mohamed Janabi anaelezea kwa kina jinsi magonjwa yasiyoambukizwa (NCDs) k**a kisukari, presha, pamoja na msongo wa mawazo (stress) na mtindo wa maisha (lifestyle) unavyochangia kudhorotesha afya kiwemo kupungua kwa nguvu za kiume.

📲 Tunathamini maoni yako. Angalia H.W Tv kisha Shiriki mjadala huu katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii: .inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media.
......................................................

08/01/2026

Kwa maneno mengine, k**a unachukia ulivyo leo badili tabia zako.
.inc

05/01/2026

Tabasamu :)

.inc

04/01/2026

"Ukitaka kujua wapi kuna pesa nenda kajifunze... mfumo rafiki wa kodi ni kigezo kimojawapo cha kujua wapi kuna pesa na wapi hakuna pesa." Mwl. Emilian Busara (C.P.A) anafungua macho kwa kina kuhusu umuhimu wa kuwa na vunzo vingi vya mapato na viashiria muhimu vya uwekezaji na vidokezo vya hali ya uchumi wa kitanzania kwa mwananchi kujiinua kiuchumi. Kasikiliza kisha chukua hatua.

Tazama zaidi kupitia H.W Tv kwa njia ya YouTube.... Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii .inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media | Tuma neno Wisdom kwenda namba 0753825794 Kujiunga na group letu la whatsApp.............................................
Session Credits : Streamore

03/01/2026

Au wewe ndugu yangu ulikuwa unalijua hili?

—-
inc

02/01/2026


—-
inc

02/01/2026

"Mtu smart ni yule anayejitafakari, 'Jana nilikuwa wapi na kesho ninakwenda wapi?'"

Anasema IPM akielezea mikakati 10 ya ushindi mwaka huu "Mwaka 2026 jitahidi kuwa mtu mwenye focus na usikubali kuyumbishwa kimawazo, kimaono au kimsimamo."
......................................................
Session Credits: Prophet IPM's Ministry

#2026

02/01/2026

FUNGUO ZA KUHARAKISHA KUTIMIZA MALENGO YAKO

"Hela unazipataje? Hela kwenye maisha unazipata pale ambapo watu wanashida halafu wanataja jina lako." Anasema Mhe. Joel Nanauka, akielezea mbinu bora za kuweka malengo na kuongeza kasi ya kufanikisha malengo yako.

"Lazima utengenezewe mfumo wa uwajibikaji, nguvu ya nje ya kukusaidia. Sasa shida.. wewe unakuwa na malengo yako peke yako mfukoni hakuna anayeyajua."

Angalia mseto huu sasa kupitia H.W Tv kwa njia ya YouTube uanze mwaka kwa umadhubuti uliotukuka.
-----

👇Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii .inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media | Tuma neno Wisdom kwenda namba 0753825794 Kujiunga na group letu la whatsApp..............................................................

01/01/2026

Kwani si inawezekana kusheherekea bila kugusa kilevi wasee? 😂 - ChidBenz

“In 2026 don’t be that genius who’s only great inside their head. You will accomplish very little that way. Are your new...
31/12/2025

“In 2026 don’t be that genius who’s only great inside their head.

You will accomplish very little that way.

Are your new goals smart enough to fill your soul, your world and your bag?

Onwards and upwards…

I know that some aspects of Tanzanian-style parenting has left indelible marks of low self esteem and a heightened fear of public scrutiny.

I totally understand it, believe me, so I do not make light of that struggle.

My understanding notwithstanding, the world works the way it works… agnostic of your background or idiosyncrasies.

It rewards the rare, the bold, the willful.

Robert Greene’s book “33 Strategies of War” will be helpful to you in the regard, if you reframe it as a self-directed war on your fears, traumas and limiting beliefs.

You’re an adult now, and the future is literally what you make of it.

Life is too short to be the world’s best kept secret.

It’s time.

(You know it’s time.)

Do not live and die as the social sacrifice of the Third World.

Fortes fortuna adiu (Fortune favors the bold).

2026… Onwards and Upwards. 🔥”

— - C.A

30/12/2025

Before you audit the game, audit the team. Business lessons from.. Book: Diary of a CEO

.club.11

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hub of Wisdom Inc. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hub of Wisdom Inc.:

Share

Category