28/10/2025
                                            "Ni hiari, ndio maana aliyeanzisha ndoa mwenyewe hakuoa. Kwa mantiki hiyo kumbe ndoa sio kila kitu kwenye maisha yetu, ingawa jamii inasukuma lakini ndoa sio lazima." Anasema Pr. John Peter "Lakini ukishasema 'mimi sioi.' basi na kunanilii pia usinanilii. Kwasbabu kinachotofautisha mahusiano ya ndoa na mahusiano mengine yote ni kunanilii." 
Je, ni lazima kuoa au kuolewa? ❤️ Una maoni gani kuhusu hili? 
Angalia somo hili kupitia H.W Tv kwa njia ya YouTube. Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii .inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media....................................................