BONGO MEDIA

BONGO MEDIA BONGO MEDIA TZ ni ukurasa wa habari za burudani, mastaa, matukio na stori zinazovuma mitandaoni Tanzania. Pata taarifa mpya na za haraka kila siku.

25/09/2026

Anachopitia mwanaume mwenzetu daah😭😭😭

25/09/2026

video

25/09/2026

Dudu Baya amempata msaidizi wake huku

25/09/2026

SIWEZI KUMGHARAMIA MWANAMKE, NDIYO MAANA SINA MAPENZI

25/09/2026

Baraza la Sanaa Tanzania Basata limemfungia msanii Dudu Baya kutokujihusisha na muziki pamoja na faini ya Shilingi milioni tatu ( 3 ) mpaka pale atakapofuata maelekezo yote ya Baraza yaliyoelekezwa.

Aidha hatia ya Dudu Baya ni kutamka lugha za matusi juu ya msanii mwenzake Ommy Dimpoz kwenye jukwaa la miaka 30 ya muziki wa Bongo Fleva Arusha.

25/09/2026
25/09/2026

WATOTO WA 2000 WAKITAJA MAHARI YAO: HUWEZI KUWAOA, NI NYODO NA MARINGO!

25/09/2026

Menaja wa Simple The Boy amefunguka alichoambiwa BASATA kuwa amwambie asivae nguo za kumtamanisha mtu na hii ni baada ya kupeleka nguo ikaguliwe itakayovaliwa kwenye kesho.

Address

Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BONGO MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share