25/09/2026
Nimeandika nimefuta nikaandika tena nikafuta i'm speechless Nimepokea kifo cha kaka yangu jana usiku tuliongea Leo asubhi Usingizi ulikuwa mzito sana Kumbe ni taarifa ya kifo chako Mungu akupe pumziko la milele ulikuwa mtu mwema si kwangu mpo kwa watu walio kuzunguka nipo njiani kuja mbeya kuchukua mwili wako pumzika Christopher bomola Mbingu Imepokea mtu mwema Asubhi ya leo
msiba upo kibaha kwa mfipa nyumbni